Zuchu vs Nandy, mpambano umewaka moto

Zuchu vs Nandy, mpambano umewaka moto

Zuchu ukitoa uwezo wake alipo pia panamueka juu,ila tukiweka ushabiki pemben hii ngom ya zuchu so kali kivile nandi kaumiza zaidi. Acha wapambanie ndoto zaoo kuwalinganisha hakun maan.
 
Zuchu ni ni takataka fulani toka majalala ya Mwanayamala nani mtoto wa Bibi mmoja kuwadi. Povu ruxaaaaa
 
Wakati zuchu anabebwa na misukule yooteeee ya wachafu koge(kile chumba saiv kipo motoo kompyuta simu zikifanya kazi kuongeza vieeeeewwwwwssss). Nandy yupo na mashabiki wake na bill pekee
uwe unaleta fact(nandy kwanza ni mkongwe ko anatakiwa awe na fanbase kubwa, kumshinda zuchu, pili nandy anasubscraibers wengi, tatu anabebwa na clouds, efm, eatv, tve na makandokando mengine) pia usisahau kuwa nandy ametoa wimbo kwa Kiki ila zuchu kwa power take, isitoshe kusema ZUCHU IS OUR NWE QUEEN
 
Hasa huyu anayeimba taarabu utamlingamisha na Nandy, Kwa kipi hasa?
tarabu ndo maana akawekwa Grammy, aeusa, afrimma na Nigeria awards na natrend 1 na ndo anaviews wengi na tarabu zake September ana total views 19.5 huku nandy ana 2.5[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa zuchu amefka 1 mil kwa siku 2,nandy siku moja mpaka sasa laki 2 views, kmahesabu nandy kesho hawez fika 1 mil,ILA NGOMA YA NANDY KALI KULIKO YA ZUCHU
pumbavu haujui mziki zuchu noma[emoji31][emoji31][emoji31]
 
Zuchu ukitoa uwezo wake alipo pia panamueka juu,ila tukiweka ushabiki pemben hii ngom ya zuchu so kali kivile nandi kaumiza zaidi. Acha wapambanie ndoto zaoo kuwalinganisha hakun maan.
usifananishe no body international collaboration na utopolo a. k. a takataka la nandy, but namba zinaongea[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Zuchu ni ni takataka fulani toka majalala ya Mwanayamala nani mtoto wa Bibi mmoja kuwadi. Povu ruxaaaaa
nandy ni takataka fulani toka majalala ya Mwananyamala na ni mtoto wa Bibi mmoja kuwadi wa Malaya. povu ruksa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mlianza kwa jide now mmegeukia kwa nandy kesho muende kwa mima muimba singeli...
 
Back
Top Bottom