mtoto wa mjomba
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 526
- 753
Zuchu ukitoa uwezo wake alipo pia panamueka juu,ila tukiweka ushabiki pemben hii ngom ya zuchu so kali kivile nandi kaumiza zaidi. Acha wapambanie ndoto zaoo kuwalinganisha hakun maan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣HUJUI HATA UNACHOKIANDIKA NI NINI,MABIBI WENZIO WANALEA WAJUKUU WEWE UNALEA CHUKI
Sasa hili swala la takataka kutrend youtube worldwide na digital platform karbia zote unahis chanzo ni nin? [emoji3]Zuchu ni ni takataka fulani toka majalala ya Mwanayamala nani mtoto wa Bibi mmoja kuwadi. Povu ruxaaaaa
uwe unaleta fact(nandy kwanza ni mkongwe ko anatakiwa awe na fanbase kubwa, kumshinda zuchu, pili nandy anasubscraibers wengi, tatu anabebwa na clouds, efm, eatv, tve na makandokando mengine) pia usisahau kuwa nandy ametoa wimbo kwa Kiki ila zuchu kwa power take, isitoshe kusema ZUCHU IS OUR NWE QUEENWakati zuchu anabebwa na misukule yooteeee ya wachafu koge(kile chumba saiv kipo motoo kompyuta simu zikifanya kazi kuongeza vieeeeewwwwwssss). Nandy yupo na mashabiki wake na bill pekee
fact maana hata Simi na tiwa wajiandaeZuchu ni msanii wa Nigeria?
USIRUDIE Tena kumfananisha zuchu na takataka[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Usirudie tena kumfananisha Nandy na vitu vya kijinga
tarabu ndo maana akawekwa Grammy, aeusa, afrimma na Nigeria awards na natrend 1 na ndo anaviews wengi na tarabu zake September ana total views 19.5 huku nandy ana 2.5[emoji23][emoji23][emoji23]Hasa huyu anayeimba taarabu utamlingamisha na Nandy, Kwa kipi hasa?
pumbavu haujui mziki zuchu noma[emoji31][emoji31][emoji31]Sasa zuchu amefka 1 mil kwa siku 2,nandy siku moja mpaka sasa laki 2 views, kmahesabu nandy kesho hawez fika 1 mil,ILA NGOMA YA NANDY KALI KULIKO YA ZUCHU
kumbuka Kuna kondegang na king music records au wao hawana nguvu[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Lengo ni kuua sanaa ya wasanii walio nje ya wachafu fc.
Kila anayechomoza ni adui kwao
usifananishe no body international collaboration na utopolo a. k. a takataka la nandy, but namba zinaongea[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Zuchu ukitoa uwezo wake alipo pia panamueka juu,ila tukiweka ushabiki pemben hii ngom ya zuchu so kali kivile nandi kaumiza zaidi. Acha wapambanie ndoto zaoo kuwalinganisha hakun maan.
kajifunze kuandika kwanzaNaaikiaga tu zuchu zuchu, sijui hata wimbo wake mmoja
nandy ni takataka fulani toka majalala ya Mwananyamala na ni mtoto wa Bibi mmoja kuwadi wa Malaya. povu ruksa[emoji23][emoji23][emoji23]Zuchu ni ni takataka fulani toka majalala ya Mwanayamala nani mtoto wa Bibi mmoja kuwadi. Povu ruxaaaaa
njoo pm nikupe zawadiZuchu anajua kuimba kuliko nandy mbana pua
Subiri uchaguzi mkuu uishe ndipo tutakapoanza kujadili huu ujinga.Kwa leo story kubwa ni pambano linaloendelea uko YouTube kati ya Zuchu na Nandy.
Vipi wadau ikitokea Nandy kashindwa kumpita Zuchu mnadhani ndio itakuwa ushahidi kuwa Nandy ameshapotezwa na Zuchu? View attachment 1604185
Wachaa mashabikiii wasemeee, watakachoo ndio utamu wa mzikimlianza kwa jide now mmegeukia kwa nandy kesho muende kwa mima muimba singeli...