Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Zuchu vs Ruby
Bajaji vs treni
Bajaji vs treni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruby ni habari nyingne mkuu...Nimeleta hii mada jamvini, kufahamu ni nani kati ya zuchu wa WCB na ruby nani zaidi?
Utime weka pembeni, ndio uchangie mada..
Ukitoa na sababu itakuwa vizur zaid ili tuelewe poin yako...
Ukiweka mahaba pembeni, hata nandy kwa ruby hatii mguu. Ruby ni namba nyingine ile sema mafanikio na kujua kuimba ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa waimba sana lakini mafanikio kiduchu.Nimeleta hii mada jamvini, kufahamu ni nani kati ya zuchu wa WCB na ruby nani zaidi?
Utime weka pembeni, ndio uchangie mada..
Ukitoa na sababu itakuwa vizur zaid ili tuelewe poin yako...
mhZuchu anajua sana kuimba..ila kwa Ruby huyo Zuchu ni takataka. Ruby ni kiboko ya wanaimbaji wote wa kike bongo
Ahsanteeeeeh kwa comment hiii, wallah umeifanya jioni ya leo kuwa bora kwangu. Pitia kwa mangi pata 1 baridiii nakuja kupay.hahaha bas watasubir sana ngoja vanessa mdee atoke huko kuchezea pipe ya rotim aje aporomoshe nyimbo za hatari huyo zuchu mbona hatuta mckia tena. vanessa jeshi la mtu mmoja.hana team wala nn lakn balaa lake zito alafu hana promo promo kama za zuchu
Nimeleta hii mada jamvini, kufahamu ni nani kati ya zuchu wa WCB na ruby nani zaidi?
Utime weka pembeni, ndio uchangie mada..
Ukitoa na sababu itakuwa vizur zaid ili tuelewe poin yako...
Nimeleta hii mada jamvini, kufahamu ni nani kati ya zuchu wa WCB na ruby nani zaidi?
Utime weka pembeni, ndio uchangie mada..
Ukitoa na sababu itakuwa vizur zaid ili tuelewe poin yako...
Absolutely trueHakuna mwanamuziki yoyote wa kike kwa hawa Bongo fleva mwenye vocal ya kumpambanisha na Ruby.
Well saidUkiweka mahaba pembeni, hata nandy kwa ruby hatii mguu. Ruby ni namba nyingine ile sema mafanikio na kujua kuimba ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa waimba sana lakini mafanikio kiduchu.