Zuchu Vs Ruby nani anaijua zaidi kuimba?

Zuchu Vs Ruby nani anaijua zaidi kuimba?

Nimeleta hii mada jamvini, kufahamu ni nani kati ya zuchu wa WCB na ruby nani zaidi?

Utime weka pembeni, ndio uchangie mada..

Ukitoa na sababu itakuwa vizur zaid ili tuelewe poin yako...
Ukiweka mahaba pembeni, hata nandy kwa ruby hatii mguu. Ruby ni namba nyingine ile sema mafanikio na kujua kuimba ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa waimba sana lakini mafanikio kiduchu.
 
Hakuna mwanamuziki yoyote wa kike kwa hawa Bongo fleva mwenye vocal ya kumpambanisha na Ruby.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dabliusibiiii wanaweweseka had basi, khaaa jaman nmekosa cha kuandika wallah,
 
hahaha bas watasubir sana ngoja vanessa mdee atoke huko kuchezea pipe ya rotim aje aporomoshe nyimbo za hatari huyo zuchu mbona hatuta mckia tena. vanessa jeshi la mtu mmoja.hana team wala nn lakn balaa lake zito alafu hana promo promo kama za zuchu
Ahsanteeeeeh kwa comment hiii, wallah umeifanya jioni ya leo kuwa bora kwangu. Pitia kwa mangi pata 1 baridiii nakuja kupay.
 
Zuchu anajitahidi kwenye kuimba muziki wenye mahadhi ya Pwani, Ruby naona ni gifted kwenye Rnb, Ana sauti tamu zaidi, all in all Zuchu tumpe muda, sifa zimeua vipaji vingi vya wacheza mpira wa England
 
Nimeleta hii mada jamvini, kufahamu ni nani kati ya zuchu wa WCB na ruby nani zaidi?

Utime weka pembeni, ndio uchangie mada..

Ukitoa na sababu itakuwa vizur zaid ili tuelewe poin yako...

Duu hadi nimeona aibu kusoma! Hivi wewe umeanza kusikiliza muziki lini? Mwaka jana alipokuja Zuchu?

Zuchu anajua kuimba lakini Kumlinganisha na Rubby ni dhambi kwakuwa Rubby ni level nyingine kabisa ...kwanza Zuchu ana safari bado kufika level ya Rubby!

Rubby ni habari nyingine kwanza naona hata aibu kuwa na mjadala kama huu maana naona ni ujinga mtupu..
 
Nimeleta hii mada jamvini, kufahamu ni nani kati ya zuchu wa WCB na ruby nani zaidi?

Utime weka pembeni, ndio uchangie mada..

Ukitoa na sababu itakuwa vizur zaid ili tuelewe poin yako...

Kuna mama Lao anaitwa Grace Matata alafu Ruby huyo zuchu simtambui.
 
Ukiweka mahaba pembeni, hata nandy kwa ruby hatii mguu. Ruby ni namba nyingine ile sema mafanikio na kujua kuimba ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa waimba sana lakini mafanikio kiduchu.
Well said
 
Back
Top Bottom