mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
- Thread starter
- #21
Yawe sanamu la michelinMambo yakunenepeana yawejee sasa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawe sanamu la michelinMambo yakunenepeana yawejee sasa!!
Eti alikufa kwa miwaya?Na domo anakomba utamu wooote bado mapeema.
Mama yake mwenyewe hana hiyo heshima.
Yule mtoto wake marehemu punga omari amemlea pale mnyamala huku akichakazwa na mibasha hovyo hovyo mpk kuolewa.
Ustadh juma labda alipita humo ndo mana anawachambua.
Kimbia tuu maana mashoga ukizubaa wangekula kibogaNahisi kama nimeingia choo cha kike. ..kama rijali nimehudhuria party ya mashoga vile......Anyways, Bye
Mbn unanikoti kunirudisha huku?? Wakati nilikuwa nishaanza kusahau kama kwenye maisha yangu nishawahi hudhuria mkutano wa mashoga?Kimbia tuu maana mashoga ukizubaa wangekula kiboga
Dah eti yeye amezaa wengine wamekunya. adriz mutu wangu umesikia hayo kutoka kwa ndugu zako?Ikiwa ni saa chache baada ya Zuchu kupitia page yake ya Facebook aliwaeleza washabiki wake malalamiko zidi ya kudhalilishwa na ustadh Jumaa yeye na familia yake kuhusu kuruhusu kila wakati kushikwa nyeti na diamond pia kuvaa vichupi kinyume na maadili ya dini yake ya kiislam. Washakunaku walitupia maneno makali na wakimkumbusha jinsi mama yake alivyozalilisha wenzake kwa kusema yeye amezaa wengine wamekunya na alivyojidai kutoa mimba saba . Walimuonyq asiende maakamani naye avumilie yatapita kwa kuwa mama yake alivyotukana jamii naye hakushitakiwa.
bongo ina vichaa wengi sana , mtu asimshitak mtu kisa mama yake ana makosa ?Ikiwa ni saa chache baada ya Zuchu kupitia page yake ya Facebook aliwaeleza washabiki wake malalamiko zidi ya kudhalilishwa na ustadh Jumaa yeye na familia yake kuhusu kuruhusu kila wakati kushikwa nyeti na diamond pia kuvaa vichupi kinyume na maadili ya dini yake ya kiislam. Washakunaku walitupia maneno makali na wakimkumbusha jinsi mama yake alivyozalilisha wenzake kwa kusema yeye amezaa wengine wamekunya na alivyojidai kutoa mimba saba . Walimuonyq asiende maakamani naye avumilie yatapita kwa kuwa mama yake alivyotukana jamii naye hakushitakiwa.
Yalaaabongo ina vichaa wengi sana , mtu asimshitak mtu kisa mama yake ana makosa ?