Zuchu wa WCB ashukiwa kibabe na wanamizengo alimtuhumu Ustadh Kumdhalilisha huku akikumbushwa Mamayake kudhalilisha wakina mama

Akae atulie mbona hayo madogo amuulize Wema amepitia mangapi
 
Na domo anakomba utamu wooote bado mapeema.
Mama yake mwenyewe hana hiyo heshima.
Yule mtoto wake marehemu punga omari amemlea pale mnyamala huku akichakazwa na mibasha hovyo hovyo mpk kuolewa.
Ustadh juma labda alipita humo ndo mana anawachambua.
Eti alikufa kwa miwaya?
 
Dah eti yeye amezaa wengine wamekunya. adriz mutu wangu umesikia hayo kutoka kwa ndugu zako?
 
bongo ina vichaa wengi sana , mtu asimshitak mtu kisa mama yake ana makosa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…