Wabongo mmezidi UtigangaKaribu Zuhura Yunus ukaisimamie Azam Media iendelee kuwa chombo cha habari cha mfano Africa. Allah akuongoze katika kazi zako.
Umeambiwa Azam TV, wewe unakimbilia kusema Azam Media...chee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo mmezidi UtigangaKaribu Zuhura Yunus ukaisimamie Azam Media iendelee kuwa chombo cha habari cha mfano Africa. Allah akuongoze katika kazi zako.
Mama asije akamteua. Aendelee kuupiga huku private sector.napenda sana utangazaji wake.
yuko vizuri sana.
sasa ni muda muafaka wa kuitumikia Nchi yake.
Kalamaganda alipigwa za uso akatoa macho hayoooo kama mjusi kabanwa na mlango
Azam TV ni part of Azam media. Akiingia huko atasaidia kote. Kama una chuki na Azam shauri yako.Wabongo mmezidi Utiganga
Umeambiwa Azam TV, wewe unakimbilia kusema Azam Media...chee!
Khee, kama wamezidi ujinga wasifiwe tu?tatizo anaiponda Sana CCM kwenye taarifa zake, ajirekebishe
Hapana simile utulivu/subira jamaaa anae hojiwa hana utulivu kabisaa ni tabu mno kumhoji.Hivi simile ndio smile
Sina chuki na Azam, nina chuki na ujinga na uelewa mdogo wa aliyekomentiAzam TV ni part of Azam media. Akiingia huko atasaidia kote. Kama una chuki na Azam shauri yako.
Njia rahisi kamzukie hukohukoZuhura ni mrembo hatari,yaani sijui nipateje namba zake
Hapa naona watu wanachanganya mkurugenzi wa azam media na mkurugenz wa azam tvUsilolijua liache lipite.
Kuna mkurugenzi wa azam media na mkurugenzi wa azam tv hawa ni watu wawili tofauti ingawa kuna mmoja ni bosi wa mwingine.Nimesoma coment zote sijaona mtu wa kumuelewesha mtoa mada
Iv Chaz hilary alikuwa mkurugenz?[emoji23] Mm navyofaham Mkurugenz wa Azam ni Tido Mhando
Navyojua Chalz Hirary hakuwa mkurugenz
Huyu ilibidi awekwe pale TBC kuchukua nafasi ya Profesa uchwala aliyepo,lakini kwa vile serikali inapenda mijitu ya hovyo ya ndio Mzee,hawawezi kumchukua huyuAliyekuwa mtangazaji nguli wa BBC Swahili, Bi Zuhra Yunus ametundika daruga za utangazaji wa BBC tangu Ijumaa tarehe 14/01/2022 na kuhamia rasmi Azam TV kama Mkurugenzi mpya kuchukua nafasi ya Charles Hillary aliyeteuliwa na Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar kuwa Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano Ikulu. Zuhra ameondoka BBC baada ya kuitumikia idhaa hiyo kwa kipindi cha miaka 14. Tukumbuke kwamba Charles Hillary naye alitokea BBC kabla ya kuja Azam TV. Karibu nyumbani Bi Zuhra.
View attachment 2082904
Katika kazi zake za uandishi wa habari na utangazaji akiwa BBC, Zuhra amewahi kuwahoji watu mashuhuri wakiwemo marais, wasanii na wanasiasa mbalimbali. Mmojawapo wa wanasiasa waliowahi kuhojiwa naye ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani Profesa Paramagamba Kabudi (a.k.a Profesa Majalala) kama unavyoweza kumsikia kwenye kipande cha mahojiano hapo chini.
View attachment 2082902
MAONI YANGU
Binafsi namkubali sana mtangazaji huyu nguli kutoka anga za Tanzania na ninamjivunia sio tu kwa kuwa ni mtanzania mwenzangu bali kwa sababu ya kazi yake ya utangazaji iliyotukuka. Kwa kweli ameipeperusha vema bendera ya Tanzania. Ni nadra sana kumpata mtangazaji mwenye karba ya Zuhra hapa nchini.
Nawasilisha.
HahahahahHuyu ndiyo alimfanya NB Lowasa alalamike kwamba anamuonea baada ya n kumtandika maswali ya ukweli