Zuhura Yunus kudai uteuzi wake ulikuwa wa kushtukiza, hakuwa na taarifa ni kweli? Kwanini hakujuzwa?

Yule Jamaa wa Tigo aliyekataa teuzi alipoteza kazi?ilikuwaje?
 
Nchi nyingi duniani masikini na tajiri, kubwa na ndogo zinatoa uraia pacha ! Tanzania tunakwama wapi ?? Ni roho mbaya au nini ?
 
Naona msemaji anaanza kujifunza "kufukia mashiko". Sidhani kama malaika wa haki akiwa mbele yake atasema hivyohivyo😆
 
Nchi nyingi duniani masikini na tajiri, kubwa na ndogo zinatoa uraia pacha ! Tanzania tunakwama wapi ?? Ni roho mbaya au nini ?
Nchi nyingi duniani masikini na tajiri, kubwa na ndogo zimeongozwa na vyama tofauti. Tanzania tunakwama wapi?? Ni roho mbaya au nn ?
 
Sidhani kama nikweli cos tayari alishaaga BBC.......alijua anakoenda bila shaka
Aseme alikuwa anaenda wapi? Je ni kuanzisha consultancy firm ya Comms? au nini? Ndo watu wanavyo badili gia angani wanapoelekea jumba jeupe. Overall, ni swala la kutafuta maisha tu.
 
Miaka ya giza hiyo mkuu, Tz kulikua hakuna wasomi.
Ni sawa na kusema mbona zamani kutoka dar hadi mwanza ilikua vumbi tupu.
 
Huyu mama hasemi ukweli mbona mimi nilisoma mahali tangu December, 2020 wakati ametoa notice ya kuacha kazi BBC walisema amepewa kazi na SSH sasa leo anasema alistukizwa sio kweli
 
Hivi lakini kabla si nilisikia anakwenda kuwa Mkurugenzi pale Azam Media akichukua nafasi ya Mzee Chaz Hilary?
 
Muongo tu, sio kweli eti kashtukizwa, atapigwa chini sasa hivi, aache kufanya watu hawajui kitu, nafasi kama hiyo lazima ana pre information zote.
 
N
Huyu mama hasemi ukweli mbona mimi nilisoma mahali tangu December, 2020 wakati ametoa notice ya kuacha kazi BBC walisema amepewa kazi na SSH sasa leo anasema alistukizwa sio kweli
Ni mwanahabari, ameanza vizuri kazi yake kubwa ni ku-spin, propaganda, kufanya visivyoaminika viaminike.

Labda ataiweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…