Duh!...Anatuzuga tu huyo; alishapewa ulaji na akaukubali ndiyo maana akaaga BBC. Uzoefu wake kuhusu tasnia ya habari na uvaaji wake wa hijab ni vitu viwili vya muhimu sana vilivyomsaidia kupata nafasi hiyo nyeti
Yule PA alikuwa mzungu au mhindi?
Hana mume wala mtoto, sijui ana shida gani.
Hawezi jibu kamwe 🤣🤣Vipi swali la British Passport ameshalijibu?
Nasimama na wewe.Sidhani kama nikweli cos tayari alishaaga BBC.......alijua anakoenda bila shaka
Bila Shaka atapata. Kama hajafika bado miaka 40..Hana mume wala mtoto, sijui ana shida gani.
Kwa Hiyo Anatupiga Fix?Sidhani kama nikweli cos tayari alishaaga BBC.......alijua anakoenda bila shaka
Afsa mama ya buyenzi ilikuwa kisu bana.Huyu hasitufanye sisi wote watoto,aliachaje kazi BBC kama alikuwa hajui kinachoendelea. Sema ajue Tanzania ni kugumu. Wenzake waliomtangulia kutoka BBC na kuteuliwa kuwa wasemaji wa ikulu ni marehemu Afsa Mosi(Burundi) na Lubunga Boaombe (DRC).
Wewe unadhani aliyekuwepo ana makosa? alikuwa anatafutwa mwanamke, na lazma awe IslamicKuna wazawa wengi wenye uwezo, vigezo kama Pascal Mayalla na wengine wengi.
Kulikuwa na ulazima kutafuta expert, Mwingereza.
Actually ni kweli hakujua kwasababu mimi naelewa tayari alishakubaliana na azam tv,kuchukua position fulani kubwaView attachment 2105667
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’
Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.
Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.
Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!
Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!
Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!
Source: BBC Swahili
Be ready to be commanded,wadada walioishi ulaya nawajua sana.kazuhura nakatamani kukaoa😋
PS: nje ya mada
Yaani hata aibu huoni unapouhusisha uteuzi na dini yake?!Anatuzuga tu huyo; alishapewa ulaji na akaukubali ndiyo maana akaaga BBC. Uzoefu wake kuhusu tasnia ya habari na uvaaji wake wa hijab ni vitu viwili vya muhimu sana vilivyomsaidia kupata nafasi hiyo nyeti
Ilikuwa pisi moja matata inasikitisha aliuawa.Afsa mama ya buyenzi ilikuwa kisu bana.
Kama angehusisha huo uteuzi na jinsia yake au U-zanzibari wake huenda ungemuelewa ?Yaani hata aibu huoni unapouhusisha uteuzi na dini yake?!
Mkuu Ni kwa taarifa tu ukipenda chukua ukiona haikufai iache, hakuna mteuliwa yeyote kutoka ofc ya rais, anaeteuliwa kama kakutana na kifo, wote hupata taarifa mapema Sana na huelezwa wasiseme mpka itakapokuwa realised,Ni kweli wenzetu duniani wanafanya hivyo, nadhani ni sababu ya ukubwa wao, nguvu na mifumo yao ilivyo imara. Sasa fikiria udogo wetu huu ulivyo ktk nyanja zote halafu mtu yupo Ulaya uanze kusema Fulani anatarajiwa kuteuliwa kuwa ......
Hizi Surprise ni Muhimu kwa Maslahi Mapana
Utakufa nacho kijiba cha roho au munatakufa nacho ww ni katika wale watu wenye roho mbaya duniani jihasabu hivyo ,sasa wewe itakusaidia nini fanya kazi zako wacheni husda zenu roho mbaya tu.Swali muhimu, ameajiriwa kama Expert au tuna uraia pacha tayari.
Uraia wake kwa sasa ni wa Uingereza. Nafasi nyeti kama hiyo kupewa mwingereza sio kitu kidogo.
Tunaomba ufafanuzi kutoka kwako Zuhura au serikalini.
Joan Wickens alikuwa mwingereza!!Yule PA alikuwa mzungu au mhindi?