Zuhura Yunus wa BBC Swahili, amesema maisha ya London Magumu huwezi hata kusevu

Gharama za ziada Ulaya ni kula nje, ukijua kupika unaokoa pesa nyingi. Wahindi wamekamata soko la mama ntilie, kuanzia migahawa mpaka supermarket kuna ready made rice and chicken curry, onion bajia au samosa.
 
Inawezeka yapo juu Ila mshahara Ni mkubwa pia mwalimu wangu alisoma kule masters alisema kikombe Cha kahawa mjini London Ni sawa na elf 80,000 za kitanzania ...
Wakati huku 100 mpaka 200[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimejaribu kuchunguza,

Kwa Wanawake wengi wa kiafrika kupata mume nchi za ULAYA Ni ishu ngumu Sana.

Wengi Sana wanarudi bongo wakiwa single na umri umeshawatupa mkono.

Nadhani ile ishu ya 50% kwa 50% imeleta shida Sana kule.

Vijana hawazitaki kabisa pingu za maisha.
 
Mkuu ukitafakari Sana alichosema Zuhura si kwamba hafanyi servings Ila anawapiga chenga ndugu Lia Lia.
 
Kwa kifupi bila kupoteza muda ni kwamba.
Unalazimishwa kuishi maisha ya hali ya juu.
 
yuko tayari kuishi kijijini ipalamwa?
 
Kwani Bi Zuhura ana umri gani?
 
Sasa kama hawezi kuishi London, ahamie chato kwa sasa kuna hoteli za sh 8,000 kwa siku. Akilipia kwa miaka 5 atatoa hiyo 1.8 kisha
 
kwa nini Jiji la DSM na lenyewe lisiwe ghali, tupandishe bei kodi za nyumba, hoteli n.k ili jiji letu liendane na majiji makubwa duniani.
Kwenye hiyo ya kupandisha kodi wazaramo wamo au maana nawahofia wao tuu wazee wa kucheza vigoma na kusubiri shughuli za mashoga zao
 
Inawezeka yapo juu Ila mshahara Ni mkubwa pia mwalimu wangu alisoma kule masters alisema kikombe Cha kahawa mjini London Ni sawa na elf 80,000 za kitanzania ...
Hii fix sasa
 
Sio ajabu,hata kama maisha yapo juu,lakini na pesa inapatikana.Hapa bongo,Miji ya Arusha,Dodoma,ni mojawapo ya miji yenye maisha yenye gharama sana,
Ukiwa Kahama,chumba kimoja Cha kisasa Cha kupanga ni Tsh 40000,chumba Cha aina hiyo Dodoma,ni Tsh 100000,sasa jiulize kwanini vijana wa boda boda waliopo Dodoma hawa hami Dodoma na kwenda kuishi Kahama,?sababu ni moja tu,Richa ya maisha kuwa juu Dodoma,pesa inapatikana,shughuri za kupata pesa kwa urahisi zipo kuriko Kahama.
 
Yaani cha msingi upo ulaya unakula kipupwe tuu. Hayo magharama ni sehemu ya maisha.
Alafu asitudanganye bwana kwenye ndoa ata za haonwazungu hamna cha 50/50. Wanawake ni wale wale tuu mchina mbongo mmarekani 80%ya bills ndani ya nyumba analipa mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…