Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Namaanisha aliingia mgahawa wa level zipi, kahawa jijini dar ni kikombe 100 hadi 200, lakini nenda sea cliff cofee house uone bei zakeKasema ni mjini London [emoji3][emoji3]
Huyo Salama hakumuuliza kuhusu mshahara anapokea sh, ngapi? ili tupime ugumu wa jiji la malkia?
Hakuna kitu kama hiko.Hapa ndo nimekumbuka ile concept ya CONSUMER PRICE INDEX (CPI). Yaan Tanzania Shilling ina thaman kuliko Sterling pound kwa kiasi kikubwa sana.
Ipinge concept ya CPI, usinipinge mm.Hakuna kitu kama hiko.
Usijidanganye.
TZS haiwezi kuwa na thamani kubwa kuliko Pound popote duniani hata kuzimu. Labda tuzungumzie kuhusu Purchasing Power Parity (PPP) kwa Pound ikiwa UK na equal value yake in TZS ukiwa Tanzania.Hapa ndo nimekumbuka ile concept ya CONSUMER PRICE INDEX (CPI). Yaan Tanzania Shilling ina thaman kuliko Sterling pound kwa kiasi kikubwa sana.
Mwambie mwalimu wako aache urongo.80elfu labda kama ni kawaha ya dhahabu.Inawezeka yapo juu Ila mshahara Ni mkubwa pia mwalimu wangu alisoma kule masters alisema kikombe Cha kahawa mjini London Ni sawa na elf 80,000 za kitanzania ...
Kwahio tunaweza kusema kikombe cha kahawa Dar ni 5,000/-?Inategemea unanunua wapi, nilinunua kawaha kwenye mgahawa mmoja pale mlimani city kakikombe buku5
Hao ni wa kwa mtogole, mbagala,chakweza au pugu kajiungeni
πππππHao ni wa kwa mtogole, mbagala,chakweza au pugu kajiungeni
Point.Sio ajabu,hata kama maisha yapo juu,lakini na pesa inapatikana.Hapa bongo,Miji ya Arusha,Dodoma,ni mojawapo ya miji yenye maisha yenye gharama sana,
Ukiwa Kahama,chumba kimoja Cha kisasa Cha kupanga ni Tsh 40000,chumba Cha aina hiyo Dodoma,ni Tsh 100000,sasa jiulize kwanini vijana wa boda boda waliopo Dodoma hawa hami Dodoma na kwenda kuishi Kahama,?sababu ni moja tu,Richa ya maisha kuwa juu Dodoma,pesa inapatikana,shughuri za kupata pesa kwa urahisi zipo kuriko Kahama.
Posta karibu na Askari kuna mgahawa kikombe cha kahawa ya maziwa SHS 4000/=.Kwahio tunaweza kusema kikombe cha kahawa Dar ni 5,000/-?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kiinua mgongo?London maisha ni magumu sana sana hata wazungu wanapaogooa !!! Niliwahi kwenda UK nikaishi Hereford and Reading(spelling) kidogo maisha yapo chini!!! Nilimuuza mwenyeji wangu ambaye ni mwalimu akaniambia kipato chake kwa mwezi !!!!!! Kwetu ni kiimua mgongo!!!
No but hatuwezi kataa kama hakuna kikombe cha kahawa buku5Kwahio tunaweza kusema kikombe cha kahawa Dar ni 5,000/-?
Na hatuwezi kusema Dar maisha ghali sana kikombe cha kahawa 5,000/-No but hatuwezi kataa kama hakuna kikombe cha kahawa buku5
Sawa lakini ukichukua average price utakuta ni 500/- or less. Hatuwezi kuchukua bei ya chakula Kempiski ndio bei ya Dar.Posta karibu na Askari kuna mgahawa kikombe cha kahawa ya maziwa SHS 4000/=.
Nguri la kujikomba kwa wadosi kwasasa wanawaita chawa,yuko wap uyu mtu mkubwa akili kibaba???Ndomana Lemutuz alirudi na pens tu