Zuia kurekodiwa video ukiwa na mpenzi wako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—ญ๐˜‚๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ๐—ฑ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ผ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ผ



Kumekua na matukio ya kushangaza kila siku ulimwenguni kuhusu watu kupostiwa video zao za ngono mtandaoni utakuta mume, mke au mpenzi mlikua kwenye tendo la ndoa mkachukuana video ghafla video zimevuja nani kavujisha hujui ? ๐Ÿ˜ฒ



Sasa wajerumani wamekuja na suluhisho ili kulinda watu wasiwe wanachukuliwa video wakati wanapokutana faragha na mwenzake, kampuni ya kutengeneza Condom Germany brand ya billy boy imetengeneza app ya kuzuia mtu asichukuliwe video wakati wanafanya mapenzi.



App inaitwa Camdom , ni kondomu ya kwanza ya kidigitali. Ni program ambayo wakati mnataka kufanya mapenzi munaziseti kwenye simu zenu na kufanya simu zenu kushindwa kurekodi video au kupicha picha kwa kuzisogeza karibu.



Ikitokea mmoja amechukua simu yake itaweza kutoa mlio ambao utasababisha wawili hao kuacha kufanya mapenzi. Ikiwa utahitaji kondomu ya kweli toka kwenye hii kampuni utaweza kuagizia kupitia online na kuletewa.



App inapatikana kwenye soko la play store unaweza kupakua sasa na watumiaji wa iOS nafikiri app store itafute au soon itaachiwa.

 
Are you aware about Sexpionage Clandestine Operations? Sexual entrapment or Honey traps operations?
Are you aware about that?

Do you know the Tactics for a Dirty Politics? Do you know the Characters Assassination and Smear Campaign operations?
 
Kwanini nifanye hivyo mkuu?
Ili uitumie kama picha ya marejeleo, utambue nani ame perform kati yako na mwenzako.
Mimi hujirekodi alafu narejelea ile video ili nijue napwaya sehemu gani then nafanya marekebisho.
 
Ile ilifutwa mitandao yote, na alievujisha tayari alidakwa kama unayo bado utaishia korokoroni
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Sema mwamba ulitisha sana ....
Kwa mbali uwezi amini kama ni wewe ulifanya vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ