Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ญ๐๐ถ๐ฎ ๐ธ๐๐ฟ๐ฒ๐ธ๐ผ๐ฑ๐ถ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ฑ๐ฒ๐ผ ๐๐ธ๐ถ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฝ๐ฒ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ
Kumekua na matukio ya kushangaza kila siku ulimwenguni kuhusu watu kupostiwa video zao za ngono mtandaoni utakuta mume, mke au mpenzi mlikua kwenye tendo la ndoa mkachukuana video ghafla video zimevuja nani kavujisha hujui ? ๐ฒ
Sasa wajerumani wamekuja na suluhisho ili kulinda watu wasiwe wanachukuliwa video wakati wanapokutana faragha na mwenzake, kampuni ya kutengeneza Condom Germany brand ya billy boy imetengeneza app ya kuzuia mtu asichukuliwe video wakati wanafanya mapenzi.
App inaitwa Camdom , ni kondomu ya kwanza ya kidigitali. Ni program ambayo wakati mnataka kufanya mapenzi munaziseti kwenye simu zenu na kufanya simu zenu kushindwa kurekodi video au kupicha picha kwa kuzisogeza karibu.
Ikitokea mmoja amechukua simu yake itaweza kutoa mlio ambao utasababisha wawili hao kuacha kufanya mapenzi. Ikiwa utahitaji kondomu ya kweli toka kwenye hii kampuni utaweza kuagizia kupitia online na kuletewa.
App inapatikana kwenye soko la play store unaweza kupakua sasa na watumiaji wa iOS nafikiri app store itafute au soon itaachiwa.