Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Ulitakiwa umisi 6-0 kutoka Raja CasablancaDah! Nimemiss sana hizo 'Khamsa!! Khamsa!! Awamu hii sijui Al Ahly wataturudishia tena khamsa khamsa zetu kwenye mechi ya marudiano!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitakiwa umisi 6-0 kutoka Raja CasablancaDah! Nimemiss sana hizo 'Khamsa!! Khamsa!! Awamu hii sijui Al Ahly wataturudishia tena khamsa khamsa zetu kwenye mechi ya marudiano!!!
Mashabiki wa Yanga bana mmefikia hatua mnaoneka kama Matahira hivi.Dah! Nimemiss sana hizo 'Khamsa!! Khamsa!! Awamu hii sijui Al Ahly wataturudishia tena khamsa khamsa zetu kwenye mechi ya marudiano!!!
Hutakiwi kukisia mkuu unachotakiwa kufanya ulete nyaraka zao zenye hayo masharti.Wengine wamezaliwa kupinga tu mkuu hivi unadhani CAF wataruhusu mashabiki bila Conditions?
Umeandika mambo mengi ila mimi naomba udafanuzi kwenye swala la barua ya Simba kuhusu wachezaji wa Al Merreikh. Je CAF wametoa majibu? Na wamesema nini Kama majibu wametoa. Na kwanini umesema Simba wamekurupuka hawakufanya research?Tuwekee hapa hiyo Taarifa ya CAF inayosema imezuia mashabiki kwa Viwanja vyote na timu zote.
Kama taarifa unayosema uliisikia kwa Manara, basi jua you were wrong informed.
Mtoa mada yupo sahihi, kimsingi mlitakiwa kufutiwa mechi zote, sijui kwanini CAF haikutekeleza hili.
Halafu mkajitia kuandika barua kujifanya mpo smart kuwa wachezaji waliochezeshwa na Al merikh walifungiwa. Hapo ndio CAF wakaona nyie ni maluza.
Kwanza unafikiaje hatua ya kuandika barua bila ya kufanya research za kutosha juu ya sharia za nchi husika na CAF, si mna Connection, mngepiga simu hata kwq maafisa wa CAF kupata ufafanuzi kabla ya kujichoresha na ma barua huku mkipost Kwenye social media.
Yaani mmeonesha akili kisoda.
CAF wanajua nyie hamfuatishi sheria na maagizo mnayopewa, yaani mpo sooo rough nje ya maagizo ; hapo hapo mnapata guts za kuchongea wengine bila ya kufanya Tafiti za kutosha.
Sasa mmepigwa PIN ili mjifunze na muwe na AKILI next time , na mkifanya mchezo hamtoboi, mechi za bila mashabiki ni ngumu pande zote.
Badala ya kuangalia wapi mlikosea , mnabaki kulia lia.
Utopolo mambo ya simba yanawaumaaaaaaaaa! Haya kunya tikiti basi.Tuwekee hapa hiyo Taarifa ya CAF inayosema imezuia mashabiki kwa Viwanja vyote na timu zote.
Kama taarifa unayosema uliisikia kwa Manara, basi jua you were wrong informed.
Mtoa mada yupo sahihi, kimsingi mlitakiwa kufutiwa mechi zote, sijui kwanini CAF haikutekeleza hili.
Halafu mkajitia kuandika barua kujifanya mpo smart kuwa wachezaji waliochezeshwa na Al merikh walifungiwa. Hapo ndio CAF wakaona nyie ni maluza.
Kwanza unafikiaje hatua ya kuandika barua bila ya kufanya research za kutosha juu ya sharia za nchi husika na CAF, si mna Connection, mngepiga simu hata kwq maafisa wa CAF kupata ufafanuzi kabla ya kujichoresha na ma barua huku mkipost Kwenye social media.
Yaani mmeonesha akili kisoda.
CAF wanajua nyie hamfuatishi sheria na maagizo mnayopewa, yaani mpo sooo rough nje ya maagizo ; hapo hapo mnapata guts za kuchongea wengine bila ya kufanya Tafiti za kutosha.
Sasa mmepigwa PIN ili mjifunze na muwe na AKILI next time , na mkifanya mchezo hamtoboi, mechi za bila mashabiki ni ngumu pande zote.
Badala ya kuangalia wapi mlikosea , mnabaki kulia lia.
Au 2_1 kutoka kwa wagosi.Ulitakiwa umisi 6-0 kutoka Raja Casablanca
Umeandika mambo mengi ila mimi naomba udafanuzi kwenye swala la barua ya Simba kuhusu wachezaji wa Al Merreikh. Je CAF wametoa majibu? Na wamesema nini Kama majibu wametoa. Na kwanini umesema Simba wamekurupuka hawakufanya research?
Haya Utopolo nendeni FIFA mkashitaki tunyang'anywe hizo points zote,mko kichawi zaidi.Tuwekee hapa hiyo Taarifa ya CAF inayosema imezuia mashabiki kwa Viwanja vyote na timu zote.
Kama taarifa unayosema uliisikia kwa Manara, basi jua you were wrong informed.
Mtoa mada yupo sahihi, kimsingi mlitakiwa kufutiwa mechi zote, sijui kwanini CAF haikutekeleza hili.
Halafu mkajitia kuandika barua kujifanya mpo smart kuwa wachezaji waliochezeshwa na Al merikh walifungiwa. Hapo ndio CAF wakaona nyie ni maluza.
Kwanza unafikiaje hatua ya kuandika barua bila ya kufanya research za kutosha juu ya sharia za nchi husika na CAF, si mna Connection, mngepiga simu hata kwq maafisa wa CAF kupata ufafanuzi kabla ya kujichoresha na ma barua huku mkipost Kwenye social media.
Yaani mmeonesha akili kisoda.
CAF wanajua nyie hamfuatishi sheria na maagizo mnayopewa, yaani mpo sooo rough nje ya maagizo ; hapo hapo mnapata guts za kuchongea wengine bila ya kufanya Tafiti za kutosha.
Sasa mmepigwa PIN ili mjifunze na muwe na AKILI next time , na mkifanya mchezo hamtoboi, mechi za bila mashabiki ni ngumu pande zote.
Badala ya kuangalia wapi mlikosea , mnabaki kulia lia.
Nyie si mabingwa wa historia basi muwe mnafundishana na hizi kwani wengine wenu mlikuwa bado vijijini mnachunga mbuzi na kuwinda vidukwiDah! Nimemiss sana hizo 'Khamsa!! Khamsa!! Awamu hii sijui Al Ahly wataturudishia tena khamsa khamsa zetu kwenye mechi ya marudiano!!!
Mkuu siyo 'kama' hao ni mataahira kweliMashabiki wa Yanga bana mmefikia hatua mnaoneka kama Matahira hivi.
Hebu kama inawezekana hiyo taarifa tuwekewe hapa.Mleta mada umetumia zaidi HISIA kuelezea taarifa ya CAF pasina kutumia UHALISIA
Hakuna sehemu yoyote ktk taarifa ya CAF ilioelezea sababu za kuzuia mashabk kuingia uwanjani eti zimesababishwa na ukiukwaji wa mashabk mechi za Simba kutokuvaa barakoa na kuweka umbali baina ya mtu na mtu