Zuio la CAF kwa mechi ya kesho ya Simba dhidi ya El Merreikh

Tuwekee hapa hiyo Taarifa ya CAF inayosema imezuia mashabiki kwa Viwanja vyote na timu zote.

Kama taarifa unayosema uliisikia kwa Manara, basi jua you were wrong informed.

Mtoa mada yupo sahihi, kimsingi mlitakiwa kufutiwa mechi zote, sijui kwanini CAF haikutekeleza hili.

Halafu mkajitia kuandika barua kujifanya mpo smart kuwa wachezaji waliochezeshwa na Al merikh walifungiwa. Hapo ndio CAF wakaona nyie ni maluza.

Kwanza unafikiaje hatua ya kuandika barua bila ya kufanya research za kutosha juu ya sharia za nchi husika na CAF, si mna Connection, mngepiga simu hata kwq maafisa wa CAF kupata ufafanuzi kabla ya kujichoresha na ma barua huku mkipost Kwenye social media.

Yaani mmeonesha akili kisoda.

CAF wanajua nyie hamfuatishi sheria na maagizo mnayopewa, yaani mpo sooo rough nje ya maagizo ; hapo hapo mnapata guts za kuchongea wengine bila ya kufanya Tafiti za kutosha.

Sasa mmepigwa PIN ili mjifunze na muwe na AKILI next time , na mkifanya mchezo hamtoboi, mechi za bila mashabiki ni ngumu pande zote.

Badala ya kuangalia wapi mlikosea , mnabaki kulia lia.
Umeandika mambo mengi ila mimi naomba udafanuzi kwenye swala la barua ya Simba kuhusu wachezaji wa Al Merreikh. Je CAF wametoa majibu? Na wamesema nini Kama majibu wametoa. Na kwanini umesema Simba wamekurupuka hawakufanya research?
 
Utopolo mambo ya simba yanawaumaaaaaaaaa! Haya kunya tikiti basi.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika mambo mengi ila mimi naomba udafanuzi kwenye swala la barua ya Simba kuhusu wachezaji wa Al Merreikh. Je CAF wametoa majibu? Na wamesema nini Kama majibu wametoa. Na kwanini umesema Simba wamekurupuka hawakufanya research?

Wameshatoa Muda. Na CAF wamemaind kuona kama Simba inawafundisha kazi
Jukumu la kujua nani kachezeshwa kimakosa ni la CAF . Kilichofanywa na barba ni kutafuta huruma

Kilichofuata ni PIN
 
Tuwekee hapa hiyo Taarifa ya CAF inayosema imezuia mashabiki kwa Viwanja vyote na timu zote.

Kama taarifa unayosema uliisikia kwa Manara, basi jua you were wrong informed.

Mtoa mada yupo sahihi, kimsingi mlitakiwa kufutiwa mechi zote, sijui kwanini CAF haikutekeleza hili.

Halafu mkajitia kuandika barua kujifanya mpo smart kuwa wachezaji waliochezeshwa na Al merikh walifungiwa. Hapo ndio CAF wakaona nyie ni maluza.

Kwanza unafikiaje hatua ya kuandika barua bila ya kufanya research za kutosha juu ya sharia za nchi husika na CAF, si mna Connection, mngepiga simu hata kwq maafisa wa CAF kupata ufafanuzi kabla ya kujichoresha na ma barua huku mkipost Kwenye social media.

Yaani mmeonesha akili kisoda.

CAF wanajua nyie hamfuatishi sheria na maagizo mnayopewa, yaani mpo sooo rough nje ya maagizo ; hapo hapo mnapata guts za kuchongea wengine bila ya kufanya Tafiti za kutosha.

Sasa mmepigwa PIN ili mjifunze na muwe na AKILI next time , na mkifanya mchezo hamtoboi, mechi za bila mashabiki ni ngumu pande zote.

Badala ya kuangalia wapi mlikosea , mnabaki kulia lia.
Haya Utopolo nendeni FIFA mkashitaki tunyang'anywe hizo points zote,mko kichawi zaidi.
 
Dah! Nimemiss sana hizo 'Khamsa!! Khamsa!! Awamu hii sijui Al Ahly wataturudishia tena khamsa khamsa zetu kwenye mechi ya marudiano!!!
Nyie si mabingwa wa historia basi muwe mnafundishana na hizi kwani wengine wenu mlikuwa bado vijijini mnachunga mbuzi na kuwinda vidukwi
FB_IMG_1613519164902.jpg
 
Mleta mada umetumia zaidi HISIA kuelezea taarifa ya CAF pasina kutumia UHALISIA

Hakuna sehemu yoyote ktk taarifa ya CAF ilioelezea sababu za kuzuia mashabk kuingia uwanjani eti zimesababishwa na ukiukwaji wa mashabk mechi za Simba kutokuvaa barakoa na kuweka umbali baina ya mtu na mtu
Hebu kama inawezekana hiyo taarifa tuwekewe hapa.
Mimi ninachohisi ni kuwa caf wameamua kufanya fair play katika awamu hii ya makundi. Simba kacheze mechi moja akiwa na watazamaji, kwa hiyo kila timu itaruhusiwa kucheza mechi moja ikiwa na watazamaji.
 
Back
Top Bottom