Zuio la CAF kwa mechi ya kesho ya Simba dhidi ya El Merreikh

Umeandika mambo mengi ila mimi naomba udafanuzi kwenye swala la barua ya Simba kuhusu wachezaji wa Al Merreikh. Je CAF wametoa majibu? Na wamesema nini Kama majibu wametoa. Na kwanini umesema Simba wamekurupuka hawakufanya research?
 
Utopolo mambo ya simba yanawaumaaaaaaaaa! Haya kunya tikiti basi.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika mambo mengi ila mimi naomba udafanuzi kwenye swala la barua ya Simba kuhusu wachezaji wa Al Merreikh. Je CAF wametoa majibu? Na wamesema nini Kama majibu wametoa. Na kwanini umesema Simba wamekurupuka hawakufanya research?

Wameshatoa Muda. Na CAF wamemaind kuona kama Simba inawafundisha kazi
Jukumu la kujua nani kachezeshwa kimakosa ni la CAF . Kilichofanywa na barba ni kutafuta huruma

Kilichofuata ni PIN
 
Haya Utopolo nendeni FIFA mkashitaki tunyang'anywe hizo points zote,mko kichawi zaidi.
 
Dah! Nimemiss sana hizo 'Khamsa!! Khamsa!! Awamu hii sijui Al Ahly wataturudishia tena khamsa khamsa zetu kwenye mechi ya marudiano!!!
Nyie si mabingwa wa historia basi muwe mnafundishana na hizi kwani wengine wenu mlikuwa bado vijijini mnachunga mbuzi na kuwinda vidukwi
 
Hebu kama inawezekana hiyo taarifa tuwekewe hapa.
Mimi ninachohisi ni kuwa caf wameamua kufanya fair play katika awamu hii ya makundi. Simba kacheze mechi moja akiwa na watazamaji, kwa hiyo kila timu itaruhusiwa kucheza mechi moja ikiwa na watazamaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…