Hebu acha uchochezi mimi niko Zanzibar na kazi inaendelea! Kumbe Mex. tunaomponza ni sisi. Mex ukiona shida we tulipue tu maana tumezidi!Kuna tetesi kuwa "Mamlaka kuu" imezuia ndege ya kufanya utafiti wa kutafuta mafuta katika visiwa vya Zanzibar.
Inasemekana Rubani wa ndege hiyo alisema walishindwa kuanza kazi kutoka na kuzuia kwa madai kuwa hawana kibali cha kufanya kazi hiyo.
Mwenye taarifa kamili kuhusu ukweli wa kadhia hii auwasilidhe Mkekani ili tutaarifike
Mna majeshi na vifaru?Zanzibar Ni Nchi Kamili
Huyo Anayezuia Ni Nani?
Mkoloni Tanganyika Ama UN
kumbe mnatawaliwa?Zanzibar Ni Nchi Kamili
Huyo Anayezuia Ni Nani?
Mkoloni Tanganyika Ama UN
Sema kweli wewe upo Zanzibar au Zanzibara? ambae unatuthibitishia kuwa kazi ya utafiti inaendelea kaama kawaida na hakuna matatizo ya Kibali?Hebu acha uchochezi mimi niko Zanzibar na kazi inaendelea! Kumbe Mex. tunaomponza ni sisi. Mex ukiona shida we tulipue tu maana tumezidi!
Taarifa iliopo ni kuwa kitengo cha jeshi JWTZ upande wa anga wamesema kuwa wapo tayar kuishusha ndege itakayo paa anga la Tanzania pasipo kibali
Hukujibu swali. Au kiswahili kinakupa shida na wewe? Hiyo "tetesi" umesikia wapi? Chini ya mti au chumbani kwako au kichwani mwako?Kiswahili ni lugha yako au ya kujifunza? Hujui maana ya neno tetesi. Waulize JF - Tetesi ni habari ambayo bado haijathibitika lakini inafukuta,inaweza ikawa na ukweli au harufu ya Ukweli