Tetesi: Zuio la kutafuta mafuta katika visiwa vya Zanzibar

Tetesi: Zuio la kutafuta mafuta katika visiwa vya Zanzibar

Dr Shein anasema Tanganyika hawawezi kukata umeme, na kama wanaweza wajaribu. Sasa hapo utamjua nani kidume, alotoa amri ukatwe au mzee Sheni
Mbona mnapenda kuwalisha maneno yasiyo yao hawa wakuu.
 
Kutoka Tanga hadi Pemba, Kutoka Dar hadi Kisiwa cha Nungwi ni continental shelf ya Tanganyika. Ref. Law of the sea (Warioba aliwahi kuwa Judge wake miaka ya 1990s). Uliza wajuvi wa mambo utaambiwa hivyo. Sasa Mafuta ya Zanzibar yako wapi, labda kwenye deep see, kutoka Zanzibar kwenda mbele Bahari ya Hindi.
 
Back
Top Bottom