Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
KabisaaHebu acha uchochezi mimi niko Zanzibar na kazi inaendelea! Kumbe Mex. tunaomponza ni sisi. Mex ukiona shida we tulipue tu maana tumezidi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaaHebu acha uchochezi mimi niko Zanzibar na kazi inaendelea! Kumbe Mex. tunaomponza ni sisi. Mex ukiona shida we tulipue tu maana tumezidi!
Mna majeshi na vifaru?
Swali limejibiwa kitambo ,tatizo lugha ya kiswahili inakupa shida. Soma thread tena kwa utulivu utajua kama ni kitandani, sakafuni au juu ya dari.Hukujibu swali. Au kiswahili kinakupa shida na wewe? Hiyo "tetesi" umesikia wapi? Chini ya mti au chumbani kwako au kichwani mwako?
Tanganyika itaikomesha sana zanzibar , hapo bado kukatiwa umeme !Kuna tetesi kuwa "Mamlaka kuu" imezuia ndege ya kufanya utafiti wa kutafuta mafuta katika visiwa vya Zanzibar.
Inasemekana Rubani wa ndege hiyo alisema walishindwa kuanza kazi kutoka na kuzuia kwa madai kuwa hawana kibali cha kufanya kazi hiyo.
Mwenye taarifa kamili kuhusu ukweli wa kadhia hii auwasilidhe Mkekani ili tutaarifike
Umesomeka. Source ya tetesi yako ni either kitandani, sakafuni au juu ya dari.Swali limejibiwa kitambo ,tatizo lugha ya kiswahili inakupa shida. Soma thread tena kwa utulivu utajua kama ni kitandani, sakafuni au juu ya dari.
Kama ndege haina kibali si waende tu kwenye mamlaka husika wakapate kibali?kutafuta mafuta sio kigezo cha ndege kuwa juu ya sheria.Kuna tetesi kuwa "Mamlaka kuu" imezuia ndege ya kufanya utafiti wa kutafuta mafuta katika visiwa vya Zanzibar.
Inasemekana Rubani wa ndege hiyo alisema walishindwa kuanza kazi kutoka na kuzuia kwa madai kuwa hawana kibali cha kufanya kazi hiyo.
Mwenye taarifa kamili kuhusu ukweli wa kadhia hii auwasilidhe Mkekani ili tutaarifike
Zanzibar Ni Nchi Kamili
Huyo Anayezuia Ni Nani?
Mkoloni Tanganyika Ama UN
Kamu ulivyonukuu kuwa rubani huyo hakuwa na kibali. Jee atarukaje nchi ya watu bila kuwa na kibali stahiki?Kuna tetesi kuwa "Mamlaka kuu" imezuia ndege ya kufanya utafiti wa kutafuta mafuta katika visiwa vya Zanzibar.
Inasemekana Rubani wa ndege hiyo alisema walishindwa kuanza kazi kutoka na kuzuia kwa madai kuwa hawana kibali cha kufanya kazi hiyo.
Mwenye taarifa kamili kuhusu ukweli wa kadhia hii auwasilidhe Mkekani ili tutaarifike
Siyo Kweli, Ndege zote za kiraia zinaruka kwenye anga la tanzania ni lazima zipate kibali toka mamlaka ya usalama wa anga.Huenda ni suala la kiufundi tu.
Hakuna ndege inaweza kuruka kwenye anga ya Tanzania bila idhini ya JWTZ!
Nahisi inaweza kuwa hilo. Jeshi au Ulinzi ni suala la Muungano! Haiwezi kuwa suala la SMZ pekee kuruhusu ndege kuruka
Na wewe jifunze Kiswahili, neno "inaweza" si la kuonyesha uhakika wa tukio.Kiswahili ni lugha yako au ya kujifunza? Hujui maana ya neno tetesi. Waulize JF - Tetesi ni habari ambayo bado haijathibitika lakini inafukuta,inaweza ikawa na ukweli au harufu ya Ukweli
Dr Shein anasema Tanganyika hawawezi kukata umeme, na kama wanaweza wajaribu. Sasa hapo utamjua nani kidume, alotoa amri ukatwe au mzee SheniTanganyika itaikomesha sana zanzibar , hapo bado kukatiwa umeme !