Kutoka Tanga hadi Pemba, Kutoka Dar hadi Kisiwa cha Nungwi ni continental shelf ya Tanganyika. Ref. Law of the sea (Warioba aliwahi kuwa Judge wake miaka ya 1990s). Uliza wajuvi wa mambo utaambiwa hivyo. Sasa Mafuta ya Zanzibar yako wapi, labda kwenye deep see, kutoka Zanzibar kwenda mbele Bahari ya Hindi.