Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, amedaiwa kuwa na shamba la mahindi hekari 500,000 nchini DR Congo, ambapo ametumia nguvu yake kisiasa kupata uhakika wa soko la mahindi yake
Baadhi ya wabunge wa DRC wamethibitisha hilo. Ili kupata soko la mahindi alilazimika kuzuia mahindi kutoka Tanzania na Uganda ili awe anaagiza kutoka DRC ambayo ni kutoka kwenye shamba lake
Kenya ilizuia mahindi ya Tanzania na Uganda kwa barua ya Machi 5, 2021 ambapo walitoa tuhuma kuwa mahindi hayo yana sumu kuvu na yamesababisha vifo vya Wakenya