Zuio la mahindi kuingia Kenya, ni kwasababu makamu wa Rais anataka soko la mahindi yake

Zuio la mahindi kuingia Kenya, ni kwasababu makamu wa Rais anataka soko la mahindi yake

What are going to do with our maize here in Tanzania. While thinking of it, we have to stop importing anything from Kenya as well.
 
Makenya Majinga sana
Mjinga ni wewe sababu ile hesabu iko inakushinda kuifanya.

Serikali inahitaji mahindi, then kuna huyu hustler mwenye ako kwa serikali na ako na mahindi.
 
Nimeshangazwa na ushirikiano wa hawa raia juu ya kutetea kuendelea kuletewa mahindi kutoka Tanzania.

Nina mashaka na tuhuma anazobebeshwa Ruto kuwa huenda ni politically motivated na si issue ya mahindi because kwa sasa joto la mbiyo za urais liko juu.

 
Jana nimekutana na Rais wao ana drive bila ulinzi wowote
 
Huyu Ruto ndio kiini cha matatizo ya biashara nyingi na Tanzania na yule mwamba wa Lusaka anashindwa kuelewa..
 
Back
Top Bottom