Nimeshangazwa na ushirikiano wa hawa raia juu ya kutetea kuendelea kuletewa mahindi kutoka Tanzania.
Nina mashaka na tuhuma anazobebeshwa Ruto kuwa huenda ni politically motivated na si issue ya mahindi because kwa sasa joto la mbiyo za urais liko juu.