Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hizi stori za kuwa Kenya inawaonea wivu wa kiuchumi zinatoka wapi?Hakuna aliyelalamikia Kenya kulinda afya za raia wake!
Hujamsikia Mtatiro huko Instagram abavyolalama kwamba Kenya wamekuwa wanategemea mahindi yetu tokea miaka ya 60 mbona hawajafa kwa mycotoxins???Hakuna aliyelalamikia Kenya kulinda afya za raia wake!
Wewe umezisikia wapi?Hizi stori za kuwa Kenya inawaonea wivu wa kiuchumi zinatoka wapi?
Kutoka kwako na wahafidhina wa CcmWewe umezisikia wapi?
Post yako inahusiana vipi na zuio la mahindi kwenda Kenya?Inasikitisha kuona wanachadema wanashangilia yanayoendelea baina yetu na majirani zetu Kenya...
Umesoma jinsi mamlaka za Kenya zinavyopima chakula kinavyoingia nchini Kenya? Unadhani wameanza kupima hivi juzi.Biashara za kimataifa hazifanyi kinyama hivyo, huwezi kukurupuka tena kwa nchi unayoitegemea kiuchumi ukata waya kama vile haitakuathiri pia. Walikuwa na muda wa kuongea na balozi au hata serikali. Inawezekanaje wakulima wa Watanzania na Wauganda ghafla washinwe kulinda mazao yao? Kwani wameanza kuuza mazao yao nje leo? Ni muda wa sisi kuvaa mawani ya mbao
Kwa hiyo wao wamefanya figisu?We tulia tunawaandalia sindano figisu hapa ndo makao makuu
Jikite kwenye mada.Kabla ya kuchukuwa maamuzi haya kwanini mawaziri wa pande zote mbili hawakuitana kuangalia jinsi ya kutatua suala hili au jinsi ya kurekebisha tatizo hili 'JAMAA WAMEFANYA UHUNI MBAYA SANA"kwanza bidhaa zao nyingi hazina uhalisia halisi wa zao husika wakikwambia haya ni maziwa ujue maziwa ni 15% na 85% ni unga wa mihogo
Crown, unadhani ni ipi iliyobora! Kuzuia mahindi yasiuzwe nje bila kuangalia athari ya wazalishaji? na walalaji? Na hii ya sasa Kenya kuzuia mahindi yetu kwa hofu ya afya za walaji?Inasikitisha kuona wanachadema wanashangilia yanayoendelea baina yetu na majirani zetu Kenya.
Huu ni Ulofa wakupindukia na kukosa Uzalendo wa kupindukia...
Ni kama sisi tunavyoilinda Nchi yetu kutokana na Chanjo za Covid19 na Barakoa zinazodhaniwa kuwa na sumuHakuna aliyelalamikia Kenya kulinda afya za raia wake!