Zuku wanajimwambafai sana? Au wameelemewa na wateja? Au ni dharau?Au jeuri?

Zuku wanajimwambafai sana? Au wameelemewa na wateja? Au ni dharau?Au jeuri?

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Yalianza jana kupitia airtel, muamala wa malipo haukufanyika
Sasa leo nawapigia simu zuku ili angalau niwafahamishe kuwa nimeshalipa ni airtel ndio wanachelewesha hela yao weeeee dakika 140 zimeisha

Dakika 140 zimeisha bila simu kujibiwa
Na sasa hivi nipo raundi ya pili dakika 70 zimekata ni kusubirishwa tu hamna huduma

Nadhani sisi bado sana kutumia teknologia, nashauri mamlaka zichunguze hili wasioweza basi na warudi kutumia makaratasi
 
Sasa nipo raundi ya tatu na dakika 28 zimekata bado nasubirishwa
Na mafuta nayo yanakata, nitaanzisha kampeni ya kuipiga vita hii zuku jameni
 
Back
Top Bottom