Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Wakuu
Kazi hizo.
Sharing is caring.

Screenshot_20211130-192128_Opera Mini.jpg
 
Application kwa WhatsApp tu, kuna upigaji hapo vijana wawe makini.
 
Malipo inabana sana kwa muuzaji au mwajiriwa

Ukishafanya Mwezi Moja Na ukafanikiwa mauzo unalipwa
Usafiri Laki 1
Mshahara Laki 3
Commission Laki 250
Faida yako ya Mauzo Laki 690. I.e. Unanunua kwa Shs Elfu 55 Na Kuuza kwa Elfu 78
Jumla: TZS 1,340,000
 
Back
Top Bottom