Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

Wana kitu gani cha maana hadi mteja aendelee kubaki humo?
 
Suala la mteja kuondoka au kubaki (customer retantion/loyalty) au linategemewa huduma bora wanazopatiwa na watoa huduma. Sasa agents wanabebeshwa mzigo ili waliwe kamisheni yao!?

Ni kweli kabisa
Ila siku hizi Agents wanaketa Fake Sales.
Anactivate decoder ili ionekane Sales na kupata Commission nk. Next Month Mteja hapatikani. So its just a check, balance and controlling mechanism
 
Iyo check and Balance HAPANA rudini mezani mje na mechanisms nyingine. Kuhama kwa mteja kuna tokana na customer service yenu.

Mfano: ivi unajua uki hire customer care mmoja tu mmbovu kwenye upande wa online help desk anaweza hamisha wateja mia moja kwa mwezi?

Sasa iweje umbebeshe uo mzigo mtu anae zunguka Mgeta, Matombo, kibosho, Nkasi, akiuza ivyo visimbusi nyenu n.k? Why?

Hapana hii haija kaa sawa kaeni chini mjitafakari mna hoja nzuri ila kuicontrol sio kwa namna hii alie kuja na hii thinking kachemka. Na kaiangusha kampuni nzima to some extent.
 
Back
Top Bottom