kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Hata mm nimeshangaa hilo, yani wao waweke michaneli haivutii alaf mteja akisepa unakatwa commission.Suala la mteja kuondoka au kubaki (customer retantion/loyalty) au linategemewa huduma bora wanazopatiwa na watoa huduma. Sasa agents wanabebeshwa mzigo ili waliwe kamisheni yao!?
WananchiKwanza nani anatumia zuku?
Wananchi
Malipo inabana sana kwa muuzaji au mwajiriwa
Zuku,startimes,Azam muelekeo wa dishi mmoja.