Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Chama gnHivi ukitembelewa na mwanasiasa maarufu wa chama chetu unadhani atakuwa na muda huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama gnHivi ukitembelewa na mwanasiasa maarufu wa chama chetu unadhani atakuwa na muda huo
We mzee utakua wa Iringa. Dar hamna viroboto. Dar hadui mkuu ni mende na kunguniHili ni chaguo la mtu hasa ikitegemea upo sehemu gani na nyumba inaingia watu gani na kwa kiasi gani. Kapeti la manyoya kama sehemu ina viroboto utakoma. Kwa kifupi lenye manyoya linahitaji nyumba nzuri za kistaarabu.
Nilichokuelewa unazungumzia floor rug ndio hizo za manyoya mengi, floor rug ina cover sehemu ndogo ya eneo la chumba, wakati hilo zulia zito au carpet kwa mujibu wako lina cover sehemu kubwa ya eneo la chumba.Wakuu, hiv kipi kipo poa kwa geto? Kati ya zulia au kapet la manyoya?
Zulia.
View attachment 2953113
Kapeti za manyoya
View attachment 2953111
Yan mkuu namaanisha ile kapeti ya manyoya na hilo zulia lisilo na manyoyaNilichokuelewa unazungumzia floor rug ndio hizo za manyoya mengi, floor rug ina cover sehemu ndogo ya eneo la chumba, wakati hilo zulia zito au carpet kwa mujibu wako lina cover sehemu kubwa ya eneo la chumba.
Japo yote ni mazulia.
Lakini unaweza tumia yote hasa red carpet ichukue nafasi nzima ya chumba halafu unaweka floor rug kati kati ya chumba chini ya coffee table.
😂😂😂 edit Uzi wako sasaHaya kati ya zulia la manyoya na lisilo na manyoya lipi zuri kwa geto ?
Unazungumzia carpet la plastic?Yan mkuu namaanisha ile kapeti ya manyoya na hilo zulia lisilo na manyoya
Kwani nimesema Dar kuna viroboto? Nisome tena. Nimesema ''kama ni sehemu yenye viroboto''. Mwanzisha thread hakusema yuko Dar hivyo nimempa ushauri mzuri tu.We mzee utakua wa Iringa. Dar hamna viroboto. Dar hadui mkuu ni mende na kunguni
Kupendeza inategemea kapeti. Kuna yenye manyoya lakini ni mabaya, lakini kuna yasiyo na mamnyoya lakini ni mazuri. Ila kiujumla yenye manyoya ndiyo mazuri kama unajua kuyatunza.Lipi linapendezesha geto zaidi ?
I'll go for la manyoya, Wewe unapendelea lipi hapo?
Manyoya siwezi naingiaga na viatu sometimesI'll go for la manyoya, Wewe unapendelea lipi hapo?
Hee si uvue viatu huko nje why uingie navyo sasa😃Manyoya siwezi naingiaga na viatu sometimes
Ebu niacheHee si uvue viatu huko nje why uingie navyo sasa😃
Basi usikaribie kwangu,tiles sipendi naona miguu inapata ubaridiMi nashauri chukua lisilo na manyoya ni rahisi kuli maintain hata kulifuta futa.
Ni basi tu, Ila watz wengi hatutakiwi kutumia kapeti la aina yoyote au door mats.
Ili uweze kumaintain usafi wa nyumba unatakiwa kumiliki vacuum cleaner, walau uwe na AC au unakoishi kusiwe na mavumbi sana kama unafungua madirisha. Hakuna madude yanayohifadhi dust kama pazia na rugs, especially kama una watoto vikohozi, mafua na pumu ni risk.
Nisiwe muongo nina kinyaa, nikiwa kwa watu huwa nakwepa rugs na door mats.
Ni salama zaidi tukiendelea kutumia zile sakafu zetu local au tiles zile zisizoshika baridi, unless unaishi mikoa ya badiri kapeti linakuwa essential.
(Mtazamo)