Zulia vs Kapeti, kipi kinafaa kwa geto?

Zulia vs Kapeti, kipi kinafaa kwa geto?

Hili ni chaguo la mtu hasa ikitegemea upo sehemu gani na nyumba inaingia watu gani na kwa kiasi gani. Kapeti la manyoya kama sehemu ina viroboto utakoma. Kwa kifupi lenye manyoya linahitaji nyumba nzuri za kistaarabu.
We mzee utakua wa Iringa. Dar hamna viroboto. Dar hadui mkuu ni mende na kunguni
 
Wakuu, hiv kipi kipo poa kwa geto? Kati ya zulia au kapet la manyoya?

Zulia.

View attachment 2953113
Kapeti za manyoya
View attachment 2953111
Nilichokuelewa unazungumzia floor rug ndio hizo za manyoya mengi, floor rug ina cover sehemu ndogo ya eneo la chumba, wakati hilo zulia zito au carpet kwa mujibu wako lina cover sehemu kubwa ya eneo la chumba.

Japo yote ni mazulia.

Lakini unaweza tumia yote mfano red carpet ichukue nafasi nzima ya chumba halafu unaweka floor rug kati kati ya chumba chini ya coffee table au sehemu utakayoona inapendeza.
 
Nilichokuelewa unazungumzia floor rug ndio hizo za manyoya mengi, floor rug ina cover sehemu ndogo ya eneo la chumba, wakati hilo zulia zito au carpet kwa mujibu wako lina cover sehemu kubwa ya eneo la chumba.

Japo yote ni mazulia.

Lakini unaweza tumia yote hasa red carpet ichukue nafasi nzima ya chumba halafu unaweka floor rug kati kati ya chumba chini ya coffee table.
Yan mkuu namaanisha ile kapeti ya manyoya na hilo zulia lisilo na manyoya
 
We mzee utakua wa Iringa. Dar hamna viroboto. Dar hadui mkuu ni mende na kunguni
Kwani nimesema Dar kuna viroboto? Nisome tena. Nimesema ''kama ni sehemu yenye viroboto''. Mwanzisha thread hakusema yuko Dar hivyo nimempa ushauri mzuri tu.
 
Lipi linapendezesha geto zaidi ?
Kupendeza inategemea kapeti. Kuna yenye manyoya lakini ni mabaya, lakini kuna yasiyo na mamnyoya lakini ni mazuri. Ila kiujumla yenye manyoya ndiyo mazuri kama unajua kuyatunza.
 
Chuo lisio na manyoya.. rahisi kusafisha, ila kama una vacuum cleaner lolote.. ila usiwe na tabia ya kuingia na viatu. Kula kula kwenye zulia. Kus3x. Watoto wadogo kuja kuja..

PXL_20240403_180204539.PORTRAIT.jpg

Kama upo Dar GSM na Discount Centre (Mlimani) wanayo mazuri, size tofauti na rangi kibao.

Shopping huku unaangalia watoto wazuri.
 
Mi nashauri chukua lisilo na manyoya ni rahisi kuli maintain hata kulifuta futa.

Ni basi tu, Ila watz wengi hatutakiwi kutumia kapeti la aina yoyote au door mats.

Ili uweze kumaintain usafi wa nyumba unatakiwa kumiliki vacuum cleaner, walau uwe na AC au unakoishi kusiwe na mavumbi sana kama unafungua madirisha. Hakuna madude yanayohifadhi dust kama pazia na rugs, especially kama una watoto vikohozi, mafua na pumu ni risk.

Nisiwe muongo nina kinyaa, nikiwa kwa watu huwa nakwepa rugs na door mats.

Ni salama zaidi tukiendelea kutumia zile sakafu zetu local au tiles zile zisizoshika baridi, unless unaishi mikoa ya badiri kapeti linakuwa essential.

(Mtazamo)
 
Umenikumbusha zamani kipindi naanza kupanga.. nilinunua zuria la manyoya chapa Fendi la kichina ,,

Kwenye Lugha nahisi Carpet la kawaida linaitwa Carpet,but la manyoya linaitwa Morrocan Rug
 
Mi nashauri chukua lisilo na manyoya ni rahisi kuli maintain hata kulifuta futa.

Ni basi tu, Ila watz wengi hatutakiwi kutumia kapeti la aina yoyote au door mats.

Ili uweze kumaintain usafi wa nyumba unatakiwa kumiliki vacuum cleaner, walau uwe na AC au unakoishi kusiwe na mavumbi sana kama unafungua madirisha. Hakuna madude yanayohifadhi dust kama pazia na rugs, especially kama una watoto vikohozi, mafua na pumu ni risk.

Nisiwe muongo nina kinyaa, nikiwa kwa watu huwa nakwepa rugs na door mats.

Ni salama zaidi tukiendelea kutumia zile sakafu zetu local au tiles zile zisizoshika baridi, unless unaishi mikoa ya badiri kapeti linakuwa essential.

(Mtazamo)
Basi usikaribie kwangu,tiles sipendi naona miguu inapata ubaridi

Carpet la plastic naona la kiduanzi Kama kwa Mama yangu

Morrocan Rug ndio natumia..
 
Kapeti manyonya mwendo DSTV ,zinga la mziki linatwanga tu CD na hakuna Fan Full time ni AC.
 
Back
Top Bottom