Zuma moves to defuse Dar, Kampala, Kigali tensions

Zuma moves to defuse Dar, Kampala, Kigali tensions

Hizi ni effects za kurely on the east african for info....fanya research....the word magaidi is a relative term
PK is not any less of a gaidi if u ask me! In fact every government on earth is a terrorist group, depending on whom you ask!

tanzania wako pale kama bootlickers wa south africa. interest za biashara za SA ndio tz wanachezeshwa mviringo na zuma. zuma hataki FDLR watimuliwe lakini chuma ki motoni.
 
tanzania wako pale kama bootlickers wa south africa. interest za biashara za SA ndio tz wanachezeshwa mviringo na zuma. zuma hataki FDLR watimuliwe lakini chuma ki motoni.
Kwanini hataki FDLR watimuliwe? For what?
Geez! What a waste of sperm!
 
Kwanini hataki FDLR watimuliwe? For what?
Geez! What a waste of sperm!

bwana cup size brains, nimekwambia zipo hapa kukopa uji.nga toka kwako. no need to answer you.huwezi ukayaelewa haya!!!!
 
The hunt for regimes that one can control continues, this time it is African Presidents, their political parties and their relatives that are hunting for regimes to control in GRL for direct deals for their relatives. Peace is a bad thing because you don't want to lose leverage, that is why the Fragile state must continue.
 
Ngoja Lowasa awe raised. Alisha wachimba biting wote wanao taka Leta fyokofyoko pale bungeni!
 
Ngoja Lowasa awe prezidaa. Mnakumbuka biti alowachimbia hawa pale bungeni?
 
Museveni is proving to be an authority in the whole region. Yuko Somalia, South Sudan na hata hii ngoma ya FDLR anataka kuirekebisha. Afanye mambo mzee, for the first time am so proud of him. UN wamewapa hao FDLR had January waweke silaha chini la sivyo wapate kichapo.

SADC wakae pembeni hii ngoma haiwahusu na wakithubutu watakipata.
 
DRC ni member WA SADC. Hauwezi kwenda kuingia tu kule kama unaingia chumbani kwako na SADC members wakuangalie tu!
 
DRC ni member WA SADC. Hauwezi kwenda kuingia tu kule kama unaingia chumbani kwako na SADC members wakuangalie tu!

DRC ni member wa SADC lakini amewahifadhi magaidi wanaochokonoa member wa EAC, na SADC wameshindwa kuwathibiti. Hivyo ni kichapo bila kuongea na SADC. Na yeyote wa SADC asithubutu kuingilia la sivyo itakua vita vya Afrika yote. Ngoma ianze sasa, January tarehe mbili (2) ndio mwisho.
 
tanzania wako pale kama bootlickers wa south africa. interest za biashara za SA ndio tz wanachezeshwa mviringo na zuma. zuma hataki FDLR watimuliwe lakini chuma ki motoni.

Chuma ki motoni? You mean the east african standby force?
Come on we all know the EASF is nothing compared to the SADC one.
Na ungeresearch ungejua Tanzania iko pale as friends of DRC. Tanzania trades alot with DRC. It is to us what UG is to you. Kabila aliongea na Kikwete na Kikwete akakubali kumsupport....
 
DRC ni member wa SADC lakini amewahifadhi magaidi wanaochokonoa member wa EAC, na SADC wameshindwa kuwathibiti. Hivyo ni kichapo bila kuongea na SADC. Na yeyote wa SADC asithubutu kuingilia la sivyo itakua vita vya Afrika yote. Ngoma ianze sasa, January tarehe mbili (2) ndio mwisho.
Ile Kenya Drinking Force ndio itoe kichapo!?
 
Ndala wamemuua mu7 na pk,zuma alienda kumpga mkwara mu7 kuwa akae kimya vingnevyo atabinywa kimya kimya,kwa mauaj ya ndala hakika january 3 hakuna vita,kule easn congo wananch hawaipend rwanda na uganda so expect nothng,kenya always hajielew halipo,yey fuata upepo
 
Kwa nini Kabila akubali Wanyarwanda na Waganda Waingie tena Congo wakati wao ndio walikuwa wafadhili wakubwa wa M23?
 
Ndala wamemuua mu7 na pk,zuma alienda kumpga mkwara mu7 kuwa akae kimya vingnevyo atabinywa kimya kimya,kwa mauaj ya ndala hakika january 3 hakuna vita,kule easn congo wananch hawaipend rwanda na uganda so expect nothng,kenya always hajielew halipo,yey fuata upepo

Hawa marais wote akiwemo huyo Zuma wamemkuta Mu7 uongozini, yeye ni mkongwe wa mambo haya na ndio tegemeo letu ukanda huu wote. Yeye ndiye kiboko dhidi ya hiyo SADC. January FDLR waweke chini silaha na wahamie nchi za SADC labda Bongo, otherwise watakipata.
 
Hata mimi namshangaa...sijui ni nini kimempelekea kutumia neno Tanzania wanapenda magaidi...
Na anachoshadadia sikijui...

Huyu si Mkenya huyu?
Pilipili ya shamba inamuwashia nini?

hakika Tz tunaonewa kijicho...wana team up kutumaliza...na hawataweza...
Hii inatupa sababu ya kutoacha kuwa member wa SADC...where we have true firends..si hawa power mongers...

hao kina lawmaina78 and co sio wakenya, ni watusi. Ni lile jeshi la kagame la online....fuatilia post zao utaona
 
mama huyo sio mkenya, huyo ni mtusi. Ni lile jeshi la kagame la online....

Hahaha!! waltham hata na wewe umebandikwa mtusi na hawa ma-FDRL, sasa sijui nani amebaki.
 
Last edited by a moderator:
Kikwete anataka kumuonyesha Kagame nani mwanaume zaidi hapa EA! Tena Kagame ana bahati Kikwete yuko njiani kutoka madarakani lakini nina uhakika atayekuja ataliendeleza

Mkuu hata mimi nilishaongea hicho kitu. Hawa watusi hawatujui vizuri. Atakayekuja lazima atataka kuleta heshima. huyu paka alishaona kama yeye ni mtemi sababu ya ukimya wa wabongo.
 
Hawa marais wote akiwemo huyo Zuma wamemkuta Mu7 uongozini, yeye ni mkongwe wa mambo haya na ndio tegemeo letu ukanda huu wote. Yeye ndiye kiboko dhidi ya hiyo SADC. January FDLR waweke chini silaha na wahamie nchi za SADC labda Bongo, otherwise watakipata.

1. Mu7 hajaweza kuwapiga LRA ya joseph Kony toka aingie madarakani miaka yote hiyo. Mpaka leo nchini kwake mwenyewe hakuna stability katika yale maeneo ya kony.
2. Mu7 alipigana na Rwanda ndani ya DRC, ingawa ugomvi ulikuwa mfupi, all analysts wanasema Uganda ilichapwa. Kama alichapwa na Kagame, sidhani kama anaweza mziki wa FDLR. Kwa sababu Kagame mwenyewe huwa akivamia DRC anaishia kuua wanawake na watoto, anaishia kuchapwa. Kawashindwa FDLR for years wether akiingia kama RDF, kama CNDP, kama M23 etc...bado FDLR wapo tu. Jiulize kama kagame anadai FDLR ndio wale ex-FAR wa 94 aliowapiga kwa only 100 days, iweje awashindwe since then mpaka leo bado wawepo tu? Mpaka anaomba collabo na kenya na uganda kuwapiga FDLR ujue hapo kuna kazi.
 
DRC ni member wa SADC lakini amewahifadhi magaidi wanaochokonoa member wa EAC, na SADC wameshindwa kuwathibiti. Hivyo ni kichapo bila kuongea na SADC. Na yeyote wa SADC asithubutu kuingilia la sivyo itakua vita vya Afrika yote. Ngoma ianze sasa, January tarehe mbili (2) ndio mwisho.

Hilo jeshi litakaloingia pale ni lipi? DRC ni nchi huru huwezi kuingia kama unaingia chooni. Uwezekano wa DRC kuruhusu wanyarwanda waingie tena pale ni mdogo.
 
Back
Top Bottom