Zuma to marry - again!

Zuma to marry - again!

Mbona wachache hao.............Mi babu yangu alikuwa Chifu wa kabila moja maarufu, yeye alioa wake 18 na nyumba ndogo 12
Au vipi...nisiende mbali babu yangu alikuwa anamcheka baba yangu kwanani ana mke mmoja tu, babu alikuwa komesha...mimi lazima nifate kwa babu :bounce:
 
Wewe unacheza na miti shamba..........!
Wacha miti shamba...asali za mapori ya tabora na tikiti maji tosha kabisa kuowa wanawake zaidi ya wanne na kila mmoja anapata haki yake....kwani wanawake siwanaenda mwezini tena unatafuta walio kuwa wanaenda siku tofouti :bounce:
 
Fazaa:smash:
 
VIAGRA at work. Ni rafikiye VASCO Da GAMA!!!! But heri yeye J anaweka wazi kuliko kuwa nao lukuki tunawatunza kwa kodi setu bila kuwafahamu. Kama kimila J anaruhusiwa kwani huku kidini si tunaruhusiwa? Be public, be transparent, be honest, be sencire to tax payers money, maintain your credibility!!!! Tanzania more than....tehe tehe!!
 
Back
Top Bottom