Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,421
Babu yako alikuwa na wasaidizi Mtambuzi
Wewe unacheza na miti shamba..........!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu yako alikuwa na wasaidizi Mtambuzi
Wewe unacheza na miti shamba..........!
Au vipi...nisiende mbali babu yangu alikuwa anamcheka baba yangu kwanani ana mke mmoja tu, babu alikuwa komesha...mimi lazima nifate kwa babu :bounce:Mbona wachache hao.............Mi babu yangu alikuwa Chifu wa kabila moja maarufu, yeye alioa wake 18 na nyumba ndogo 12
Hapo smile umeamua kuwa muongo. Ukifika kule siku mbili tatu hujatembelewa na mkulu tayari unaanza kutoka kimaficho maficho -LOLkuishi ikulu ni satisfaction tosha
Wacha miti shamba...asali za mapori ya tabora na tikiti maji tosha kabisa kuowa wanawake zaidi ya wanne na kila mmoja anapata haki yake....kwani wanawake siwanaenda mwezini tena unatafuta walio kuwa wanaenda siku tofouti :bounce:Wewe unacheza na miti shamba..........!
Wacha miti shamba...asali za mapori ya tabora na tikiti maji tosha kabisa kuowa wanawake zaidi ya wanne na kila mmoja anapata haki yake....kwani wanawake siwanaenda mwezini tena unatafuta walio kuwa wanaenda siku tofouti :bounce: