Zumaridi aandike Biblia yake mwenyewe kama walivyofanya manabii wa zamani

Unawajua Mormon?
Kajifunze ni watu gani hao. Wana biblia yao sambamba na biblia ya kawaida na ni wakristo.

Wasabato pia, vitabu vya Elen G white ni sawa na biblia na bado ni wakristo.

Hakuna ubaya wa Zumaridi kua na biblia yake sambamba na hii ya kawaida na bado akawa mkiristo
ZUMARIDI anampinga KRISTU? Unaelewa? Katika mafundisho yake anaosema KRISTU alitumwa kwa wayahudi tuu zamani na mafundisho yake kuyasoma makanisani ni kupoteza muda kwa sababu ni historia ya mambo aliyoyafanya kale kwa wayahudi.

Anaosema yeye ndio Mungu jua kwa dunia ya Sasa anayeongea na Mungu baba direct na kwa mambo yaliyopo Sasa kama kifo Cha kanumba na sajuki na sii Lazaro ambaye hafaamiki.

Yeye na wafuasi wake wanawashangaa wakristu na waislamu kumuomba Mungu asiyeonekana wakati waamini wao wanamwona live ZUMARIDI wao na wanamwomba na anawajibu papo hapo.
Sasa hao wasabato uliyowataja na hao wengine wanaweza kufanya kufuru ya namna hiyo? Hivyo vitabu unavyovitaja ni vitabu vya ziada ambayo hata wakatoliki Wana misale ya waamini lakini kitabu Cha kiada kinaendelea kubaki kuwa BIBLIA TAKATIFU
 
Watanzania wanapenda Uhuru wa kuabudu lakini wanapenda uabudu na kuamini kama wao. Ukitoka kwenye mazoea yao wanataka wakunyang'anye huo Uhuru.

Hao wanaompinga Zumaridi wao wanapiga makelele mtaani na tunavumilia kwa kengele au Azana na mahubiri na tunavumilia kwasababu tunaona hatuna namna ni Uhuru wa kuabudu. Ukiwasema kwa hayo inaonekana unaingilia Uhuru wao ila wao wanapoingilia Uhuru wako haina shida.

Sasa Zumaridi kwake imekua shida sijajua ni nini huenda ni migogoro ya kibiashara zaidi.

Kama tunataka uhuru wa kuabudu tukubali kutofautiana. Masuala ya Imani hayataki uthibitisho ni kuamini tu tukianza kuhoji imani za watu tutaambiwa tunakufuru kwasababu hakuna majibu ya kudhibitisha Imani husika.

Ni Nani anaepima usahihi wa Imani?
 
ZUMARIDI anampinga KRISTU? Unaelewa? Katika mafundisho yake anaosema KRISTU alitumwa kwa wayahudi tuu zamani na mafundisho yake kuyasoma makanisani ni kupoteza muda kwa sababu ni historia ya mambo aliyoyafanya kale kwa wayahudi.

Anaosema yeye ndio Mungu jua kwa dunia ya Sasa anayeongea na Mungu baba direct na kwa mambo yaliyopo Sasa kama kifo Cha kanumba na sajuki na sii Lazaro ambaye hafaamiki.

Yeye na wafuasi wake wanawashangaa wakristu na waislamu kumuomba Mungu asiyeonekana wakati waamini wao wanamwona live ZUMARIDI wao na wanamwomba na anawajibu papo hapo.
Sasa hao wasabato uliyowataja na hao wengine wanaweza kufanya kufuru ya namna hiyo? Hivyo vitabu unavyovitaja ni vitabu vya ziada ambayo hata wakatoliki Wana misale ya waamini lakini kitabu Cha kiada kinaendelea kubaki kuwa BIBLIA TAKATIFU
Ndio mungu Yule aliyekuwa anakata mauno mbele ya umati akiwa juu ya gari baada ya kutoka polisi?🤣🙌
 
Ndio ushangae, kwamba mungu hawezi kujenga magorofa?

Watu wana nadharia zao za mbinguni ambazo wamezijenga vichwani, Zumaridi yeye amefika live so wa kumuamini ni Zumaridi.
Sahihi kabisa, Zumaridi amekwenda na amerudi
 
Huyu aliyesema Mbinguni kuna magorofa na Peter alitaka amuoe yeye akakataa mbele ya Ibrahimu?[emoji1787][emoji119]

Na ukweli yapo
IMG_4442.jpg

Mimi nayasubiri
 
Zumaridi kafunuliwa mbona hatujiulizi manabii wa zamani waliishia kuweka maandiko pasipo proof yoyote ile.
 
Nabii mfalme Zumaridi anatakiwa kukumbushwa kuandika biblia ama ufunuo wake kama wlaivyofanya manabii wa zamani.

Dini hizi tunazoziona sasa zilianza kama ilivyo kwa Zumaridi lakini miaka kadhaa mbele sasa ni jamii kubwa ya waumini wakiamini kilichoandikwa na manabii kama Zumaridi wa huko nyuma

Miaka 2000+ iliyopita wakati Yesu Kristo anasema ametumwa na Mungu na kuanzisha ukristo, kwa miaka ile hakuna aliemuamini, alizomewa kama Zumaridi wa sasa, ila sasa Ukristo unabwafuasi zaidi ya Bilioni 2.

Miaka 1400+ iliyopita wakati Mohamed anaanzisha uislamu, kwa maelezo kwamba ameonyeshwa ana kuoteshwa na Mungu hakuna mtu aliemuamini ila leo uislamu una wafuasi zaidi ya Bilioni 1.

Miaka 150+iliyopita wakati Elen G white anaanzisha usabato kwa maelezo kwamba alionyeshwa na Mungu, hakuna aliemuamini miaka ile, ila leo Wasabato wamejaa Duniani Kote.

Miaka 160+ wakati Joseph Smith anaanzisha dhehebu lake la Mormon kwa maelezo kwamba Yesu baada ya kufufuka alienda Marekani kabla ya kwenda Mbinguni, hakuna aliemuamini ila leo Mormon wamejaa Duniani kote.

Miaka 140+ iliyopita wakati Charles Russel anaanzisha mashahidi wa yehova hakuna aliemuamini ila leo mashahidi wa yehova wamejaa Duniani kote.

Hao niliowataja wamefanikiwa kwa sababu waliacha maandishi ya ufunuo waliouona huko Mbinguni walipoonyeshwa na Mungu ama Yesu.

Zumaridi anapaswa kuandika kitabu ama biblia yake mwenyewe ya kile alichokiona kwa macho yake Mbinguni ili hata akifa miaka ijayo waumini na wafuasi wake watakua na kumbukumbu ya alichokuonyeshwa Nabii Zumaridi.

Ni jambo jema sasa kwa ulimwengu wa sasa oua na nabii anaeonyeshwa na kuoteshwa na kuja kutupatia mrejesho wakati akiwa hai hivyo tuna nafasi ya kuhoji na kuuliza alichokiona. Hao manabii wa zamani hatuna nafasi ya kuwahoji unabii wao waliutoa wapi, kuna vitu vingi vya kuwahoji ila hawapo hivyo nafasi haipo tena.

Zumaridi anapaswa kuenziwa na kuheshimiwa, miaka 50 ijayo tunaweza kua na dhehebu kubwa Duniani lililoanzia Tanzania kama madhehebu ama dini nyingine.
Hao uliwatolea mifano wote waliandika baibo zao? Au unamuonea tu baby zuma
 
Hapo naona umeongelea imani bili uisilamu na ukirisito hata zamaradi ni mkiristo tambua yesu akuacha kitu kinacho itwa ukirisito hata Muhammad hakuna andiko kwenye qur,aan linalo thibitisha kuwa yeye ndie kaanzisha uisilamu
 
Wewe ni Mjinga kama yeye
Ataandika nini sasa
Pia kwanini unampa attention mtu kama huyo
Mpotosha maadili ya jamii
 
Ataandika alichokiona.

Maadili gani? Hata dini zilizopo zimepotosha na kujaribu jamii.

Ulitaka nikupe attention gasho kama wewe?
 
Hapo naona umeongelea imani bili uisilamu na ukirisito hata zamaradi ni mkiristo tambua yesu akuacha kitu kinacho itwa ukirisito hata Muhammad hakuna andiko kwenye qur,aan linalo thibitisha kuwa yeye ndie kaanzisha uisilamu
Quran aliileta nani? Jibu ni Mohamed basi wafuasi wa quran ni baada ya quran kuletwa na Mohamed.
 
Zumaridi kafunuliwa mbona hatujiulizi manabii wa zamani waliishia kuweka maandiko pasipo proof yoyote ile.
Hapo ndio ushangae, watu wanaamini manabii wa zamani halafu hawataki kumuamini Zumaridi.
 
Back
Top Bottom