monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, Paulo buana!Halafu kumbe Mt. Paulo alitaka kubeba jumla wakati huku duniani alitushauri ikiwezekana tusioe tuwe kama yeye [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2561253
Aisee! This sounds weird! Kuna kitu gani amewapa hawa watu mpaka anawafanya hivi na wanakubali?Ona wafuasi wake wanavyosujudu kwa kubong'oa mungu wao akipita [emoji15]
Hawa akiwaambia wanywe sumu ili waende mbinguni kama Jim Jones alivyofanya kule Guyana au wajichome moto kama Kibwetere wa Uganda mara moja wanatekeleza.
Serikali itabidi wamwangalie kwa ukaribu maana ana potential kubwa ya kuleta maafa makubwa huko mbele ya safari.
View attachment 2561243View attachment 2561244
Ila hii nchi ina watu wajinga wengi sana. Yaani hapo juu kuna pisi kali za kutosha tu, lakini kichwani hamna kitu.Ona wafuasi wake wanavyosujudu kwa kubong'oa mungu wao akipita [emoji15]