Zumaridi yuko sahihi kujiita mfalme wakati ni mwanamke

Zumaridi yuko sahihi kujiita mfalme wakati ni mwanamke

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Bila kujali kama anajua au hajui, katika ufalme wa Mungu hakuna Malkia au princess.

Kuna mfalme wa wafalme = Yesu
na wafalme= Sisi wafuasi wake bila kujali jinsia.

Ufunuo wa Yohana 5:10
ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
 
Au ndo wewe ulikuwa unaimba nae pale stejini umeshika mic? Haiwezekani umsifie hivyo.
 
Uyo ni mwehu
Kichwa yake inafanya kazi sana. Kumanipuleti watu hadi wakupiganie sio kazi ndogo. Leo hata Papa akikamwatwa hakuna muumini anayeweza kupigana ili aachiwe. Huyu mama licha ya fix zake lakini ni moja ya akili kubwa nchini.
 
Au ndo wewe ulikuwa unaimba nae pale stejini umeshika mic? Haiwezekani umsifie hivyo.
Hahaha ni mimi mkuu.
Nilienda kumuona kwa karibu.
Huyu ni moja ya vivutio vya kitaifa.
 
Juzi tulikua nae kwenye show ya rayvanny na glass yake 😂😂😂
 
The_Woman_King_(film).jpg
 
Back
Top Bottom