matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kichwa yake inafanya kazi sana. Kumanipuleti watu hadi wakupiganie sio kazi ndogo. Leo hata Papa akikamwatwa hakuna muumini anayeweza kupigana ili aachiwe. Huyu mama licha ya fix zake lakini ni moja ya akili kubwa nchini.Uyo ni mwehu
Hahaha ni mimi mkuu.Au ndo wewe ulikuwa unaimba nae pale stejini umeshika mic? Haiwezekani umsifie hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au ndo wewe ulikuwa unaimba nae pale stejini umeshika mic? Haiwezekani umsifie hivyo.
HahahahaJuzi tulikua nae kwenye show ya rayvanny na glass yake πππ
Uyo ni mwehu