Waandishi wa habari, watangazaji na wahariri wajifunze kufanya utafiti na kuuliza jambo au kufanya uchambuzi kwa uhalisia.
Waandishi na wanasiasa wasidhani watu ni wajinga kwa kutofahamu kilichofanyika, kinachoendelea na kitachotokea chini ya utawala huu wa chama dola kongwe tawala CCM na serikali yake katika kufanya mbinu chafu za kubakia madarakani ikiwemo kueneza dhana isiyo na uhalisia
Walio katika vyombo vya habari na media House wajifunze kutoka hata kwa Mehdi Hassan kuwa na taarifa sahihi wanapokwenda kuhoji, kufanya uchambuzi au kuongoza midahalo / mijadala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.