Pre GE2025 Zungu: CHADEMA inaenda kuleta mgogoro kati ya raia na polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Polisi hii hii ya CCM inayoongoza matembezi ya birthday ya mama Abdul halafu inawakamata wanaoandamana kupinga matukio ya utekaji?
 
Waandishi wa habari, watangazaji na wahariri wajifunze kufanya utafiti na kuuliza jambo au kufanya uchambuzi kwa uhalisia.

Waandishi na wanasiasa wasidhani watu ni wajinga kwa kutofahamu kilichofanyika, kinachoendelea na kitachotokea chini ya utawala huu wa chama dola kongwe tawala CCM na serikali yake katika kufanya mbinu chafu za kubakia madarakani ikiwemo kueneza dhana isiyo na uhalisia


Walio katika vyombo vya habari na media House wajifunze kutoka hata kwa Mehdi Hassan kuwa na taarifa sahihi wanapokwenda kuhoji, kufanya uchambuzi au kuongoza midahalo / mijadala


View: https://m.youtube.com/watch?v=ZSIA7ZB9i00
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…