Zungu: Jaji Warioba kuongea hadharani ni kuzua taharuki

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii

Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti

Your browser is not able to display this video.
 
Jamani hizi rekodi za majibu inabidi zijibiwe na watu waliolingana elimu. Nashangaa Kitima kujibiwa na watu ambao hawajamaliza elimu ya msingi. Na Jaji mwasisi wa katiba kujibiwa na mwandishi wa habari.
 
CHAWA na wauza tende hawachelewi kuja kusema yale maandamano yaliandaliwa na Jaji Warioba!
Warioba alikuwepo kwenye Ile cocktail ya waandaaji,fuatilia kauli zake,yaani walijioanga waligawana majukumu
Huku viongozi wa dini,wanasiasa, wanaharakati,wanahabari wa nje,waamini wanazi waliokabidhiwa vijana wa kuandamana
 
Nilijua tu, kusema ukweli ni kuzua taharuki? Wtf is wrong with this country?
 
Tume ya mchongo,mpuuzi pekee anayeweza kubali uhalali wa hiyo tume haramu
 

Kwani kazi ya tume ni kuja na idadi....!!?
 
Hivi ile reprt ya ali k8bao imeishia wapi
 
Kuna mtu bado anaiamini serikali ya CCM haaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…