Zungu: Jaji Warioba kuongea hadharani ni kuzua taharuki

Madagascar, Tunisia,misri viongozi wakuu walitolewa vipi?..hamkua mkiimba hapa maandamano yasiyo na ukomo mpaka aondoke?
Yule ni rais haramu, hakuchaguliwa na wananchi, alitumia nguvu ya vyombo vya dola, aliua watanganyika na hivyo kiti chake ni kiti cha damu. Amekataliwa na kila mtu
 
Attachments

  • IMG_20251118_141855.jpg
    IMG_20251118_141855.jpg
    95.4 KB · Views: 16
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii

Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
ZUNGU katumwa.
Ni ule mtandao!
 
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii

Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Huyu bwege hana alijualo kuhusu HAKI na UHAI

Akifikiwa yeye ataimba usiku na mchana na ataomba asaidiwe kupiga kelele
 
Compare
 
Attachments

  • Screenshot_20251121_162425_Instagram.jpg
    Screenshot_20251121_162425_Instagram.jpg
    247.5 KB · Views: 22
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii

Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Huyo Zungu aache uhuni, hiyo tume si ichukue hiyo idadi ya hadharani ya Warioba kisha walete idadi zaidi hadharani, ama wao tume idadi yao haitakuwa ya hadharani?
 
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii

Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Tatizo la hii serikali ya CCM wanachojua ni kuwadhuru raia wake,lakini ukweli ukisemwa kwa matendo yao ya kikatili wanayoyafanya wanakuja juu,
Yaani mtu anamuuwa ndugu yako halafu hataki usema kama amemuwa,anataka akuone umekaa kimya hii ni hatari sana
 
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii

Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Pumbaf zake.

Mtu kutoa maoni yake imekuwa taharuki tena!

Kwani maneno aliyoeleza mzee Warioba ni mageni masikioni mwa jamii ya waTz?

Kuteka watu, kuua na kuleta udini haileti taharuki bali maneno ya busara ya mzee warioba?
 
Kwasasa Tanzania wana Habari wa ukweli ni wa kuhesabu sana.
Mimi kidogo naowaelewa ni Aloyce Nyanda, Odemba, na Charles Williams
 
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii

Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Huyu zeru zeru naye kumbe ni hamnazo hao watu kwani waliuwa mafichoni, wabongo wamesoea kuficha ukweli hivyo mtu muwazi na mkweli anaambiwa analeta taharuki, yaani kijana kabisa anakuwa na mawazo ya mwaka 47, pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom