Zungu: Jaji Warioba kuongea hadharani ni kuzua taharuki

Zungu: Jaji Warioba kuongea hadharani ni kuzua taharuki

Zungu amesikika akimlaumu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba, kwa kuongea ukweli juu ya masuala hasi chini ya serikali ya Mama Samia.
Ni mtindo ule ule wa kuteka, kuua na kukandamiza ili ukweli ufutike kwa nguvu.

Zungu amejiweka kuwa mtetezi wa matukio haramu yaliyotokea-THE DEVIL'S ADOCATE
 
Mbona walisema ni ''Zungu'' mwandishi wa habari? (Of course hawa ma-blogger waliojipachika uandishi) Ni yule Albino, chawa pro.
 
Kwani hata hiyo sura ukimuangalia unamuonaje? Amefanania kuzimu tu!
View attachment 3519896
Azzan Zungu amesikika akimlaumu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba, kwa kuongea ukweli juu ya masuala hasi chini ya serikali ya Mama Samia.
Ni mtindo ule ule wa kuteka, kuua na kukandamiza ili ukweli ufutike kwa nguvu.

Zungu amejiweka kuwa mtetezi wa matukio haramu yaliyotokea-THE DEVIL'S ADOCATE
 
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii

Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Zungu yuko sahihi
 
Zungu mraibu wa pariki, speaker mwenye uraia pacha.
 
Madagascar, Tunisia,misri viongozi wakuu walitolewa vipi?..hamkua mkiimba hapa maandamano yasiyo na ukomo mpaka aondoke?
Kauli za hawa vijana zinawachanganya vijana wao. Hata wanaotoa matamko hawajui wanachokinena.
M. K kaishiwa, Sarungi kapoteana. Wamebaki vijana na keyboard bila vyanzo vyovyote. TZ kuna mambo!

Watanzani pigeni kazi bila uoga.
 
Mkuu uko kambi lipii Mbweni, Kilwa au Ostabei?
 
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii

Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Hizi ndizo tamaduni za kigeni tunazoingiziwa na kuvuruga kabisa mwelekeo wa nchi.

Huyu anazungumzia tamaduni alizo zizoea; za kuficha maovu na kuwekeana siri huku watawaliwa wakiumia.

Kwa watu wapuuzi kama huyu, "kuzua taharuki" ni jambo la muhimu zaidi kuliko kuondoa roho za wwatu! Hizi ndizo tamaduni za kigeni tunazozoeshwa tuzikubali, ili tuwe watwana kwao.
 
Mbona walisema ni ''Zungu'' mwandishi wa habari? (Of course hawa ma-blogger waliojipachika uandishi) Ni yule Albino, chawa pro.
Albinisim(albino) ni lugha ya kizungu.

Kiswahihili sanifu ni zeruzeru, anapaswa kuitwa hivyo kutokana na ulemavu wa ngozi yake.

Kumekuwa na wimbi la kukipotosha kiswahili kwa makusudi.

Sasa hivi walemavu wa macho(vipofu),wanachukia kuitwa hivyo, ukiwaita wasioona wanakenua meno kwa furaha.

Viziwi(deafs) waite wasiosikia nk nk, upumbaf mtupu!
 
Back
Top Bottom