Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
View attachment 3519896
Azzan Zungu amesikika akimlaumu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba, kwa kuongea ukweli juu ya masuala hasi chini ya serikali ya Mama Samia.
Ni mtindo ule ule wa kuteka, kuua na kukandamiza ili ukweli ufutike kwa nguvu.
Zungu amejiweka kuwa mtetezi wa matukio haramu yaliyotokea-THE DEVIL'S ADOCATE
Zungu yuko sahihiMuandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii
Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Mwenyekiti wa Wahariri Tanzania yupo wapi?Zungu amejiweka kuwa mtetezi
Kauli za hawa vijana zinawachanganya vijana wao. Hata wanaotoa matamko hawajui wanachokinena.Madagascar, Tunisia,misri viongozi wakuu walitolewa vipi?..hamkua mkiimba hapa maandamano yasiyo na ukomo mpaka aondoke?
Mkuu uko kambi lipii Mbweni, Kilwa au Ostabei?Kauli za hawa vijana zinawachanganya vijana wao. Hata wanaotoa matamko hawajui wanachokinena.
M. K kaishiwa, Sarungi kapoteana. Wamebaki vijana na keyboard bila vyanzo vyovyote. TZ kuna mambo!
Watanzani pigeni kazi bila uoga.
Sina kambi. Kama ukipenda ukipenda niite Tanzania kwanza, kama ukiitafsiri hiyo kama kambi, binafsi sifanyi hivyo.Mkuu uko kambi lipii Mbweni, Kilwa au Ostabei?
Mmeelekezwa cha kufanya, hela mnayopewa tamu kwa sasa, zitawatokea puani.Sina kambi. Kama ukipenda ukipenda niite Tanzania kwanza, kama ukiitafsiri hiyo kama kambi, binafsi sifanyi hivyo.
Uzalendo mavi wenu ni kuficha uovu wenu kwa faida yenu.Sahihi uzalendo kwanza
Hizi ndizo tamaduni za kigeni tunazoingiziwa na kuvuruga kabisa mwelekeo wa nchi.Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii
Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Wewe bibi wa kizungu amekumetema?
Albinisim(albino) ni lugha ya kizungu.Mbona walisema ni ''Zungu'' mwandishi wa habari? (Of course hawa ma-blogger waliojipachika uandishi) Ni yule Albino, chawa pro.
Kafiri Yahudi mjaa laana wewe