matonyamswanu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 358
- 433
Sijajua aliyetoa wazo la kuwateka watu na kuwauwa, na kutunga sheria ya kinga kuwalinda wauwaji kama alikuwa Mtanganyika na akili timamu au mgonjwa wa akili. Au mgeni toka nje.Kwani kazi ya tume ni kuja na idadi....!!?
AMuandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii
Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Hivi zungu ana lavel gani ya ilimu?!Sahihi uzalendo kwanza
Mlitaka muachwe mchome tu miundombinu,mali za watu,mumtoe na rais madarakani
Nakubaliana na wewe. Huu ni unafiki. Au neno likitakwa kwa kiingereza linaonekana ni sawa lakini kiswahili ni tusi.Albinisim(albino) ni lugha ya kizungu.
Kiswahihili sanifu ni zeruzeru, anapaswa kuitwa hivyo kutokana na ulemavu wa ngozi yake.
Kumekuwa na wimbi la kukipotosha kiswahili kwa makusudi.
Sasa hivi walemavu wa macho(vipofu),wanachukia kuitwa hivyo, ukiwaita wasioona wanakenua meno kwa furaha.
Viziwi(deafs) waite wasiosikia nk nk, upumbaf mtupu!
Sahihi MASLAHI kwanzaSahihi uzalendo kwanza
Huyo mtangazaji anajulikana kwa jina hilo la Zungu kutokana na ulemavu wake wa ngozi.Meta mada una nia ya kupotosha... unataka watu waone kuwa ni Zungu spika kumbe ni mtu mwingine. UNALETA TAHARUKI. Acha UKANJANJA.. PUMBAVU KABISA. MODS PLEASE QUALIFY THE TITLE ACCORDINGLY .
A