SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,889
Wabunge wetu muache kuwadanganya wananchi. Excise tax is primarily a consumer tax na hivyo haya makampuni ni wakusanyaji tu...anayelipa kodi hiyo ni "mlaji" (huyo huyo anayemtetea kwenye ishu ya mitumba!). Haya makampuni yataongeza tu tariff zao ili kureflect ongezeko la kodi.Mbunge wa Ilala Azzan Zungu ameunga mkono kodi ya makato kwenye mihamala ya simu na kusema serikali inapoteza mapato makubwa sana, amedai makampuni yana lobby ..kuwa wananchi wataumia kumbe watakoumia ni wao, amewataka wananchi kuacha kulalamikia kodi kwani serikali inategemea kodi kufanya shughuli zake.
Wakipitisha kodi zote hizi wakidhani wakidhani zitabebwa na haya makampuni wanajidanganya sana na kutudanganya sisi wananchi.
Wawe wawazi tu, kuwa kodi hizi atabeba mwananchi lakini ni kwa faida ya nchi yetu (kama zitatumika vizuri) badala ya kupotosha.