PostGE2025 Zungu: Tunakosea kulinganisha matokeo ya Taifa Stars na uchaguzi wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema:

Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha ajenda kwa maksudi kabisa daah 😭😭😭

Hii timu sio ya Ccm wa Chadema ni ya kwetu Watanzania acheni hizo propaganda nina uhakika hata mioyoni mwenu mnajua kuwa mnakosea basi tu wanangu mnajizima data kwa maksudi

Tusiwakosee wenetu waliotoa jasho lao kwa ajili ya Taifa ,kwa makosa ya wengine zty FIFA hawakutaka kuchanganya football na siasa

YANI WANANGU KILA KITU KINACHOTOKEA DUNIANI KWENU NI FURSA KWA AJENDA ZENU HADI FOOTBALL
😭😭😭😭

https://www.instagram.com/p/DTGYheWDTJD/comments/
1767588270418.png
 
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema:

Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha ajenda kwa maksudi kabisa daah 😭😭😭

Hii timu sio ya Ccm wa Chadema ni ya kwetu Watanzania acheni hizo propaganda nina uhakika hata mioyoni mwenu mnajua kuwa mnakosea basi tu wanangu mnajizima data kwa maksudi

Tusiwakosee wenetu waliotoa jasho lao kwa ajili ya Taifa ,kwa makosa ya wengine zty FIFA hawakutaka kuchanganya football na siasa

YANI WANANGU KILA KITU KINACHOTOKEA DUNIANI KWENU NI FURSA KWA AJENDA ZENU HADI FOOTBALL
😭😭😭😭

Zungu yupo sahihi 100% kwenye uchaguzi yupo upande wa kudhurumu na kwenye football yupo upande wa kudhulumiwa. Lazima aone vitu haviko sawa
 
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema:

Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha ajenda kwa maksudi kabisa daah 😭😭😭

Hii timu sio ya Ccm wa Chadema ni ya kwetu Watanzania acheni hizo propaganda nina uhakika hata mioyoni mwenu mnajua kuwa mnakosea basi tu wanangu mnajizima data kwa maksudi

Tusiwakosee wenetu waliotoa jasho lao kwa ajili ya Taifa ,kwa makosa ya wengine zty FIFA hawakutaka kuchanganya football na siasa

YANI WANANGU KILA KITU KINACHOTOKEA DUNIANI KWENU NI FURSA KWA AJENDA ZENU HADI FOOTBALL
😭😭😭😭

Huyu zeruzeru naye aache ujinga watu wanazungumzia haki yeye analeta uchawa wake
 
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema:

Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha ajenda kwa maksudi kabisa daah 😭😭😭

Hii timu sio ya Ccm wa Chadema ni ya kwetu Watanzania acheni hizo propaganda nina uhakika hata mioyoni mwenu mnajua kuwa mnakosea basi tu wanangu mnajizima data kwa maksudi

Tusiwakosee wenetu waliotoa jasho lao kwa ajili ya Taifa ,kwa makosa ya wengine zty FIFA hawakutaka kuchanganya football na siasa

YANI WANANGU KILA KITU KINACHOTOKEA DUNIANI KWENU NI FURSA KWA AJENDA ZENU HADI FOOTBALL
😭😭😭😭

Nani kamdanganya kuwa ni Wapinzani au Chadema ndiyo wanafanya huo mlinganisho...!!?
 
Hiyo timu ingeshinda hata yule aliyejificha Tunguu anagerudi Dar chap.
Asante sana Traore kwa kufanikisha hao jamaa wafungwe
 
Ukianza kusikia vilio jua ujumbe umefika au kwa msemo wa mitaani kisu kimegusa mfupa.
 
Back
Top Bottom