PostGE2025 Zungu: Tunakosea kulinganisha matokeo ya Taifa Stars na uchaguzi wa Tanzania

PostGE2025 Zungu: Tunakosea kulinganisha matokeo ya Taifa Stars na uchaguzi wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyo dogo alivyokua anaanza uandishi wa habari alikua vizuri, lakini kadri siku zinavyoeenda akili zake zinachuka chini na haja kubwa inapanda juu.
Huyo ni kumkamata na kumkamata na kumuanika kwenye jua tu.
 
Wakamuue refa si washazoea kuua wapinzani wao! makonder si afanye kazi anayoiweza kwa ufanisi tu yaishe...

Hayatuhusu!
 
Aache ujinga, refa ameunda tume ya kuchunguza tukio lile, tena amesisitiza Tume ichunguze kauli za Stars kama hazikusababisha Mashabiki wa Morocco Kuchochewa.

Refa ana omani na tume aliyoinda, Stars na wana CCM mtulie kusubiri tume ifanye kazi msilete taharuki.

Kasisitiza mtunze amani kwani amani ni bora kuliko haki na amenyosha mkono wa maridhiano nendeni mkazungumze mridhiane
 
He should learn from the past, hata Tulia na Ndugai walikuwa kama yeye.
 
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema:

Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha ajenda kwa maksudi kabisa daah 😭😭😭

Hii timu sio ya Ccm wa Chadema ni ya kwetu Watanzania acheni hizo propaganda nina uhakika hata mioyoni mwenu mnajua kuwa mnakosea basi tu wanangu mnajizima data kwa maksudi

Tusiwakosee wenetu waliotoa jasho lao kwa ajili ya Taifa ,kwa makosa ya wengine zty FIFA hawakutaka kuchanganya football na siasa

YANI WANANGU KILA KITU KINACHOTOKEA DUNIANI KWENU NI FURSA KWA AJENDA ZENU HADI FOOTBALL
😭😭😭😭


Mjinga huyo
 
Sijawahi kuona Sope mwenye akili timamu na ufahamu mpana,
Sijui kwanini hata. Pumbaav zake.
 
Back
Top Bottom