Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema:
Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo πyani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha ajenda kwa maksudi kabisa daah πππ
Hii timu sio ya Ccm wa Chadema ni ya kwetu Watanzania acheni hizo propaganda nina uhakika hata mioyoni mwenu mnajua kuwa mnakosea basi tu wanangu mnajizima data kwa maksudi
Tusiwakosee wenetu waliotoa jasho lao kwa ajili ya Taifa ,kwa makosa ya wengine zty FIFA hawakutaka kuchanganya football na siasa
YANI WANANGU KILA KITU KINACHOTOKEA DUNIANI KWENU NI FURSA KWA AJENDA ZENU HADI FOOTBALL
ππππ