Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kauli tata 🐼Kiongozi nusu mtu nnusu chuma.
Hii kauli hii wenye macho ya Roho tunaichukua kwa uzito wake.
Rejea Ile sanamu aliyoiona Mfalme Nebuchadnezzar!Kauli tata 🐼
Na hakupewa mwingozo na Serikali; hivi Wabunge wetu wanawafundisha nini watoto wanaosiliza maneno yao ya kuhalalisha uvunjifu wa sheria?Hapo sijui alikuwa anafikiria nini; badala aseme kuwa Sheria zetu zifuatwe yeye anamhusisha tena Mh. Rais.
Huyo ndiye mtunga sheria wetu...
Akumbushwe huyu ponjoro muuza cocain kuwa kabla ya kufa hajaumbika, hajui kesho yakeWakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026.
Wakati huo huo, wabunge watatoa michango kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Zungu: Tuna kiongozi nusu Mtu nusu Chuma
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu akizungumza Bungeni leo, Juni 20, 2025 amesema wanaoendela kutukana waachwe waendelee kutukana kwa kuwa wana Kiongozi Nusu Mtu Nusu Chuma.
Tuna tatizo kubwa na safu ya viongozi wetu. Tuombe sana.Na hakupewa mwingozo na Serikali; hivi Wabunge wetu wanawafundisha nini watoto wanaosiliza maneno yao ya kuhalalisha uvunjifu wa sheria?
Mungu wangu kumbe sio binadamu kamili🥺🥺🥺🥺Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026.