Zungu: Wanaotukana waache watukane, tuna Kiongozi Nusu Mtu Nusu Chuma (Bungeni leo Juni 20, 2025)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026.

Wakati huo huo, wabunge watatoa michango kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Zungu: Tuna kiongozi nusu Mtu nusu Chuma
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu akizungumza Bungeni leo, Juni 20, 2025 amesema wanaoendela kutukana waachwe waendelee kutukana kwa kuwa wana Kiongozi Nusu Mtu Nusu Chuma.
 
IMG-20250618-WA0004.jpg
 
Hapo sijui alikuwa anafikiria nini; badala aseme kuwa Sheria zetu zifuatwe yeye anamhusisha tena Mh. Rais.
Huyo ndiye mtunga sheria wetu...
 
Na hakupewa mwingozo na Serikali; hivi Wabunge wetu wanawafundisha nini watoto wanaosiliza maneno yao ya kuhalalisha uvunjifu wa sheria?
 
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026.

Wakati huo huo, wabunge watatoa michango kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Zungu: Tuna kiongozi nusu Mtu nusu Chuma
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu akizungumza Bungeni leo, Juni 20, 2025 amesema wanaoendela kutukana waachwe waendelee kutukana kwa kuwa wana Kiongozi Nusu Mtu Nusu Chuma.

Akumbushwe huyu ponjoro muuza cocain kuwa kabla ya kufa hajaumbika, hajui kesho yake
 
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026.

Wakati huo huo, wabunge watatoa michango kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Zungu: Tuna kiongozi nusu Mtu nusu Chuma
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu akizungumza Bungeni leo, Juni 20, 2025 amesema wanaoendela kutukana waachwe waendelee kutukana kwa kuwa wana Kiongozi Nusu Mtu Nusu Chuma.

Mungu wangu kumbe sio binadamu kamili🥺🥺🥺🥺
 
Back
Top Bottom